Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Siku hizi wanazingua kiukweli ila mwanzo ilikuwa mtelezo tu
 
Nadhani mpo humu.Jamani mtu upo Dar lakini internet ni shida utadhani upo msitu wa Congo.

Xx Mvua inanyesha shida
Xx Ukiwa kwenye mikusanyiko shida
Xx Ukiwa ndani ya nyumba shida
Xx Ukiwa sehemu ya bonde shida
Xx Ndani ya gari

Imagine unatuma msg WhatsApp inaload tu.Google haifunguki,social networks ndio kabisaa mpaka utoke nje sehemu ya muinuko.

Unajiunga kifurushi cha mwezi au week kinaisha sijatumia chochote.

NB.Si leo tu kwa sababu ya sikukuu hapana ni kila siku.
 
Halotel kwa internet ni takataka kabisaaa.....wanakera kinomanoma.Line zilizokuwa zinasuport 4G waliziua kimyakimya unakuta tu network aisomi ukiwaendea wanakwambia ubadilishe line ukibadilisha wanakurudisha 3G,huu ndo mchezo wanoafanya pia.
 
Nadhani mpo humu.Jamani mtu upo Dar lakini internet ni shida utadhani upo msitu wa Congo.

Xx Mvua inanyesha shida
Xx Ukiwa kwenye mikusanyiko shida
Xx Ukiwa ndani ya nyumba shida
Xx Ukiwa sehemu ya bonde shida
Xx Ndani ya gari

Imagine unatuma msg WhatsApp inaload tu.Google haifunguki,social networks ndio kabisaa mpaka utoke nje sehemu ya muinuko.

Unajiunga kifurushi cha mwezi au week kinaisha sijatumia chochote.

NB.Si leo tu kwa sababu ya sikukuu hapana ni kila siku.
Hawa halotel wanajipanga tena, pesa yao yote wamelipia kujinasua kwa dpp, Bilioni 48 siyo pesa kidogo
 
Huu mtandao mwanzoni ulikuwa mzuri sana.

Baadae sijui waliufanya nini?
 
Nadhani mpo humu.Jamani mtu upo Dar lakini internet ni shida utadhani upo msitu wa Congo.

Xx Mvua inanyesha shida
Xx Ukiwa kwenye mikusanyiko shida
Xx Ukiwa ndani ya nyumba shida
Xx Ukiwa sehemu ya bonde shida
Xx Ndani ya gari

Imagine unatuma msg WhatsApp inaload tu.Google haifunguki,social networks ndio kabisaa mpaka utoke nje sehemu ya muinuko.

Unajiunga kifurushi cha mwezi au week kinaisha sijatumia chochote.

NB.Si leo tu kwa sababu ya sikukuu hapana ni kila siku.
Mala kadhaa nimenunua vifurushi vya hawa Halotel, sitaki kurudia tena..internet ya kukamata mjini tu ndo nini sasa! Vodacom ni wezi wa vifurushi tukadhani tutaponea kwa hawa walio kuja na mbwembwe za waVietinam lakini ndo bure kabisa
 
Hawa jamaa internet wmeifanya nn sjui hawakua hivyo..hii wiki karbia ya 3 mambo hovyo
Siyo wiki ya tatu tu we nae bana..hao wako hivyo siku zote,internet yao ni kimeo kupita kiasi afu iko mjini tu..bure kabisa hawana maana hata kidogo
 
Back
Top Bottom