[Tanga ya Tajiri]
Senior Member
- Aug 30, 2015
- 183
- 49
Alaf Halotel wameanza kuwa na Tamaa ,,Zaman Ukiweka Salio thu kabla ya Kujiunga chchte ,,Unatumiwa meseji umepokea Mb30 Bure [emoji23][emoji23],Haha lakin sasa hiv hakuna ,,,Alaf pia Ilikuwa kwa Laini ya kawaida ukijiunga Bundle La 500 Unapata Mb 300 ,,Na bundle La Chuo Unapata Mb 600 kwa wiki ,,,Lakin wamebadiLi [emoji27][emoji27][emoji27]