julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,413
- 4,713
NAKAZIA. MIX BY YAS WANABOA WANAZI FREEZE MB HATA ZIWE MB 20, SASA WAKAT MWINGINE UNAHITAJI UNUNUE BANDO KUPITIA INTERNET CONNECTION UNAKOSA. na Voda Ofa yenu ya Kanda ya kati ya kishamba sana mmeweka madakika matupu bila hata kuweka data.au mmetuona tunapenda kuongea sana tuuwe masikio.weken na data we unatoa dk 3000 kwa sh 1000,za nini zote hizoHamia vodacom.
Sijutii baada ya kutoka yas kuja voda, GB zangu naona ziko safe na voda.
Yas mb haziishi vizuri na zinakata fasta mno hata uweke settings za namna gani kuzikaba ila bado wanaziporonyoa.