SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Mfano asipolipiwa mnaenda kumfukuza...?🤣
nyie semeni tu kama mmehamu kutokewa na mizimu!lo
Ccm bwana sasa mlipaji hapo awe nani?Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Kodi inalipwa kabla ya kuzikwaMfano asipolipiwa mnaenda kumfukuza...?🤣
nyie semeni tu kama mmehamu kutokewa na mizimu!
Ndugu wa MarehemuCcm bwana sasa mlipaji hapo awe nani?
kama ulaya na mataifa mengine ambapo hufanya hivyo na watu hubaki na majivu tu.Mm naona kusiwe na makaburi, watu wakifa wachomwe moto, maeneo ya makaburi yafanyiwe uwekezaji
Mm naona kusiwe na makaburi, watu wakifa wachomwe moto, maeneo ya makaburi yafanyiwe uwekezaji
Tunapoteza ardhi kubwa tena zingine mijini kabisa kisa wafu 🗑️kama ulaya na mataifa mengine ambapo hufanya hivyo na watu hubaki na majivu tu.
Wasije wakakusikia Wenye ndugu zao/zetuIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Nyiñyi ndio mnasababisha Bangi ipigwe marufuku nchi hii.Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Tumeshindwa uwekezaji basic..unataka tukimbilie kuchoma maiti...Kuna rasilimali nyingi sana tunaweza kutumia kuinvest...Tanzania Bado ina Ardhi kubwa sana ambayo Haina matumiziMm naona kusiwe na makaburi, watu wakifa wachomwe moto, maeneo ya makaburi yafanyiwe uwekezaji