naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Kweli wewe GT 😀😀😀Mnataka na hela za waliokufa ndo maana mvua zimekosa ratiba maalumu ya kunyesha
Kweli wewe GT 😀😀😀Mnataka na hela za waliokufa ndo maana mvua zimekosa ratiba maalumu ya kunyesha
tMm naona kusiwe na makaburi, watu wakifa wachomwe moto, maeneo ya makaburi yafanyiwe uwekezaji
Hy ardhi kubwa isiyo na matumizi n huko kijijini, Mm nasemea maeneo ya makaburi yaliyopo mjiniTumeshindwa uwekezaji basic..unataka tukimbilie kuchoma maiti...Kuna rasilimali nyingi sana tunaweza kutumia kuinvest...Tanzania Bado ina Ardhi kubwa sana ambayo Haina matumizi
Mjini hamna cha bureHy ardhi kubwa isiyo na matumizi n huko kijijini, Mm nasemea maeneo ya makaburi yaliyopo mjini
Wewe bila shaka utakuwa demu wake na Madelu maana naona umemuibia idea yake ya chanzo kipya cha mapato mwaka ujao wa fedha mkiwa gestiIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Acha unaa. Hadi marehemu unawaonea wivu? Unataka walioe kodi ili muwe sawa..daahIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Hapa sasa mtaanza kuteka, kutesa na kuua marehemu wasiolipa Kodi!Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Baada ya kodi hii watu watapunguza sana kufaIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Haya Mimba ikiwezekana,unaonaje?Ili kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
Yani makaburi?Hapa sasa mtaanza kuteka, kutesa na kuua marehemu wasiolipa Kodi!
MACCM akili mingi, idadi ya vifo lazima ipungue.Baada ya kodi hii watu watapunguza sana kufa
Tozo ya mimba mbona ipo kitambo? Hadi tozo ya ugonjwa ipo!Haya Mimba ikiwezekana,unaonaje?
Big brain la ccm ndohili sasaIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi
NakaziaIli kuongeza wingi wa Kodi nchini. TAMISEMI kupitia Halmashauri za Majiji, miji na manispaa zianzishe Kodi ya Makaburi kwa kila anayezikwa kwenye Makaburi rasmi