kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,682
- 3,066
Siku za uchaguzi madiwani wa ukawa wanaweza wasipate barua za kikao,au wakapelekewa muda mfupi kabla ya uchaguzi,au wakawekewa bangi mfukoni ili wakamatwe ns kuswekwa lupango,au wakaleweshwa kwa madawa ya kulevya ili wasipige kura na vitimbi vingi vinavyofanana na hivyo.muwe makini makamanda.