bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Kama Muungano ukiwa KUSH..NEY.....watu wa kanda watengeneze muungano wao.
Mmesahau Songea maana madiwani wa cdm ni wengi kuliko ccm
Mwenye matokeo ya kata Mtwara na Lindi
Ccm hoi kabisa.Halmashauri ya Moshi
CHADEMA madiwani 19
NCCR madiwani 8
CCM madiwani 5
Manispaa ya Moshi
CHADEMA madiwani 20
CCM madiwani 2
Halmashauri ya Rombo
CHADEMA madiwani 24
CCM Diwani 1
Baada ya kupata ushindi wa Kishindo katika jimbo la Serengeti yaani Ushindi wa Mbunge Mw. Marwa Ryoba na Madiwani 18 kati ya 30 watakao wawezesha kuunda Halmashauri kwa kupata Mwenyekiti kiti wa Halmashauri kutoka Chadema tangu Uhuru.
Nashauri wawe makini katika Uchaguzi wa Mwenyekiti na napendekeza awe Juma Porini kutoka Natta na Katibu wa Mbunge atoke Ngoreme. Hii itawezesha mtandao wa Chedema kuenea katika kila kanda za Jimbo la Serengeti na kuhakikisha ushindi wa kishindo tena mwaka 2020.
NB.Kuweni sana na Mwenyekiti mstaafu msije mkajichanganya akachukua uenyekiti.
Mwenye matokeo ya kata Mtwara na Lindi
Vipi kuhusu Maendeleo au una undugu nae huyo!
Mmesahau Songea maana madiwani wa cdm ni wengi kuliko ccm
haya bana!!!!!