Elections 2010 Halmashauri zipi zimeenda chadema au upinzani?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Wananchi wengi hupata huduma nyingi toka kwa halmashauri zao. Naomba mwenye jibu tusije tukamiss kilichotokea hasa jpili.
 
mkuu MM, nina wasiwasi JF imeshanunuliwa na inaendeshwa na mafisadi wa CCM. angalia trend ya threads na michango tangu jana usiku. Ufisadi?
 
Kigoma kaskasin, meatu, karatu, chuga town, kilombero, hai, singida magaribi na bariadi mashariki, mwingne aendelee....
 
Tusichanganye ubunge na Halmashauri. Kuna majimbo ambayo mbunge na Halmashauri hawako Chama kimoja na mfano ni Kigoma kaskazini. Inabidi tuji-inform zaidi
 
Msaada kwenye tuta>

Halmashauri inaendwshwa na madiwani, hivyo chama chenye madiwani wengi ndicho kinapata mwenyekiti wa baraza> Kumbuka hata mbunge ni mjumbe wa baraza la madiwani na viti maalumu vinaendana na uwiano wa madiwani kwa kila chama. Hivyo halmashauri hesabu zake zianzie hapo.
 
MBEYA MJINI -- MR. SUGU- CHADEMA
MOSHI MJINI - NDESAMBU...CHADEMA
ARUSHA ------ CHADEMA
MBOZI- SILINDE- CHADEMA
UBUNGO - MNYIKA - CHADEMA
MWANZA - CHADEMA
MUSOMA-CHADEMA
KIGOMA-CHADEMA
KAWE-CHADEMA
n.k
 
Back
Top Bottom