Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
.....
......Babeli hiyoooo
......Babeli hiyoooo
......mliitaka wenyewe na mvimbe mpasuke,wacha muisome namba eee naniii mbelekwa mbele.
Hii ni kweli kabisa na nimeishudia kwa macho yangu katika halmashauri fulani.
Picha linaanza baada tu ya wale wateule wa bwn mkubwa wa level za halmashauri (Dcs, Das) kusaini kiapo cha maadili pale ikulu waziri muhusika na dhamana akawahakikishia kwamba nyie nendeni kwenye vituo vyenu vya kazi mtakuta pesa zote, za nauli, kujikimu etc. Mkawaone makatibu tawala wa mikoa yenu!
Kumbuka walipoteuliwa tu majina kutangazwa itifaki inataka dereva wa mteule amfuate boss wake mpya popote alipo mara moja ili amfikishe kituoni kwa procedure za viapo nk.
Basi, tukatoka haooo vituoni kwa mbwembwe nyingiii ukidhani unapofika unakuta bahasha la kaki... Tamisemi haikupeleka kitu kwa zaidi ya miezi miwili, kama huna akiba binafsi basi utakopa na kugongea mwanzo mwisho..
Wabunge hawawezi ku-intervene wao binafsi (zingatia hilo)
Ukata umetamalaki ndugu zanguni ila kwakua jamaa alisema pia siku ile "vumilieni kwa muda huu kachapeni kazi, mambo yatakua sawa"
Mbaya zaidi madereva wa wateuliwa siunajua hawako kwenye payroll ya mkurugenzi wa halmashauri/ mkoa (usiniulize wako kwenye payroll nani kama hujui) kwahiyo wateule hawalalamiki mbele zao.. Ni mwendo wa kufa na tai shingoni tu!
Patience pays yo!
Niukweli mtupu ulio ongea! Sitofafanua zaidi ya hapa, changanya na za kwako!
Ndo kuisoma namba huko.hakuna pesa za burebure tena mjomba ndo maana nikakwambia fanyakazi zako binafsi hachana na halmashauri
Hujui kuwa kodi za majengo zimerudishwa serikali kuu?Hii mijitu mijinga ndio mtaji wa CCM maana haijui hata nini kinaendelea kazi kushabikia tu!Kama hamkusanyi kodi punguzeni wafanyakazi, eti rim hizo form mbona tunatoa photocopy wenyewe? Mumepewa ada za leseni kodi za majengo, bado naruzuku mpate? Hapana kabisa. Majaliwa halmashauri itakayoshindwa kujiendesha ifute.
Tunahitaji kujenga reli mpya tuokoe barabara zetu, tunahitaji kujenga viwanda vijana wapate ajira, mwingine anataka apelekewe ruzuku apate hela ya supu na kuhudumia nyumba ndogo. Eti ukata? Kuna mwezi hukulipwa mshahara?
Mpaka watu wakishindwa kulipwa mishahara sirikalini ndio buku7 watatia akili.
na zikifutwa nani ataathirika ndugu..mwananchi ambae atatembea km 150 kufuata huduma au mtumishi.jarib kufikiri kidogo mkuu.Halmashauri zisizoweza kujiendesha zifutwe. Just thinking loudly
Siyo kutetea serikal tu kuna hawa wa upinzan wamepoteza mwelekeo kabsa, n bora bas ata wote wangekua wa chama kimoja tukajua hvo kulko sahz wapo tu kama hawapoWewe unachokijua ni kipi? Wabunge wamekaa kama mafurushi ya ..... ngumu, wakisubiri maelekezo ya chama chao namna ya kutetea serikali. Ondoa ujinga wako hapa wa kulazimisha watu wote wawe majuha kama wewe ulivyo jua. Linamacho halioni, na masikio kama majani ya miti yasiyo na uwiano na mwili!.
Unachangia mada gani,hatma ya nchi haipo mikononi mwa Mbowe,ipo mikononi mwetuSiyo kutetea serikal tu kuna hawa wa upinzan wamepoteza mwelekeo kabsa, n bora bas ata wote wangekua wa chama kimoja tukajua hvo kulko sahz wapo tu kama hawapo
Mada hyo hyo... maana wao ndio wangekua watetez wetu, lakn sasa hal imekua kinyume hawako kama ilvokua zaman...Unachangia mada gani,hatma ya nchi haipo mikononi mwa Mbowe,ipo mikononi mwetu
Tumia akili wewe mlimuajiri magufuli ni wananchi na sio Lowasa ana Mbowe.muambie mama ako na Dada ako kijijini kwamba nchi inateketea wachukue hatua,Mbowe mara ngapi amepiga kelele kuvunjwa kwa katiba na halmashauri kupokwa madaraka,unajua alichokisema Heche binge liliopita kuhusu halmashauri?au unataka wasemee wapi,wao ni wakuwaamsha tu wachukua hatua wa mwisho ni nyinyi.hao hao kina Mbowe wamezuiwa kufanya mikutano nyinyi wananchi mmechukua hatua?Mada hyo hyo... maana wao ndio wangekua watetez wetu, lakn sasa hal imekua kinyume hawako kama ilvokua zaman...
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwani halmashauri ni kazi ya nani au ipo kwa ajili ya nani?Ndo kuisoma namba huko.hakuna pesa za burebure tena mjomba ndo maana nikakwambia fanyakazi zako binafsi hachana na halmashauri
Hoja ni ya spika na nimemnukuu. Kama hawajajua wajibu wao kwa sababu ya ugeni, bila shaka hata kuisukuma gvt ipeleke pesa zinakotakiwa kwenda kutakuwa na walakin.Ulisoma kabla hujapost ulichoandika? Umri wa mBUNGE unahusiana nini na Serikali Kuu kupeleka Pesa za Maendeleo kwenye Harmashauri
Serikali ipi unayozungumzia isukumwe...ikiwa Bunge lenyewe mtukufu kaligeuza kuwa Rubber Stamp ya Mambo yake!Hoja ni ya spika na nimemnukuu. Kama hawajajua wajibu wao kwa sababu ya ugeni, bila shaka hata kuisukuma gvt ipeleke pesa zinakotakiwa kwenda kutakuwa na walakin.