KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini.

Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika Maswala Binafsi Hata Kazini Kama Mtumishi.
 
Back
Top Bottom