Halmashauri ya Wilaya Mtwara Vijijini yapokea fedha ya gesi

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kwa mara ya kwanza TPDC imetoa kiasi cha Tsh milioni 150 kama tozo la uchakataji wa gesi kwa Halmashauri ya Mtwara Vijijini.

Haijaelezwa ni asilimia ngapi ya kile kilichopatikana lakini Mkurugenzi wa TPDC ameahidi kuwa kadri gesi itakavyohitajika kwa wingi ndivo mapato hayo yatakavyoongezeka.

SOURCE: TBC
 
Don't forget, hadi sasa gas inayovunwa ni kama tone la maji tu kwenye bahari-- ile gas yenyewe hasa, yaani ya kina kirefu bado haijaanza kuvunwa!
 
Ile siasa ya gesi haitoki ikiisha kabisa mambo yao yatakuwa mazuri
 
Kila heri lakini hiyo hela haitoshi hata kununua kiwanja kimoja pale Kigamboni
 
Kila heri lakini hiyo hela haitoshi hata kununua kiwanja kimoja pale Kigamboni
Viwanja vya kigamboni kwa bei ya mzaramo ni rahisi kabisa lakini wakishaingia wale watu wa kati ndio inakuwa shida
 
Milioni 150 mkuu...kwa halmashauri hiyo sio hela ndogo kama unavyofikiria!
Mkuu manunuzi ya uma yanatofautiana Halimashauri na Halimashauri au?Au ulitaka kusema ni nyingi kwa Kijiji?Land Cruiser la Halmashauri ni Milioni ngapi?Na La Jiji ni Tshs ngapi?
 
Hela ndogo na haina maelezo ni pato la muda gani na watakuwa wakipewa baada ya muda gani.
 
Back
Top Bottom