Shahed kamikaze
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 606
- 1,001
Mkurugenzi wa sasa mama Myovela ni mpole mno hii inafanya mambo mengi kutokwenda vizuri.Ofisi ya afisa utumishi ni ya ovyo kabisa wana majibu mabaya hadi inakatisha moyo.
Idara zingine kama elimu hali iko hivyohivyo.
Hii halmashauri inatakiwa isafishwe.
Idara zingine kama elimu hali iko hivyohivyo.
Hii halmashauri inatakiwa isafishwe.