Halmashauri ya jiji la Arusha yabomoa kanisa lililokuwa likipiga kelele

Yesu sio wa msalabani bali aliwambwa msalabani ili watu wapate wokovu. Hata mie siungi mkono maombi ya makanisani kuwa na sauti kubwa kiasi cha kuwafikia wasiohusika nayo. Kwa wakati huu tulionao ni muhimu yakajengwa sound proof ili sauti iishie huko ndani kwa uhuru wao wa kuabudu.
Shida iko kwa wale wanaofunga spika kubwa juu ya nyumba zao za ibada na alfajiri "wanapiga" kelele eti kuwahimiza wenzao waje. Kwani hawajui wajibu wao? Kwa nini wasijifungie alarm huko kwao? Nao wanakera watu waliolala.

na misikiti je watawekaje soundproof kwenye horn speakers? misikiti haisumbui? kuna haja ya kupeana ushauri na kubalance maambo kabla ya uamuzi
 
UKO SAHIHI MKUU, ila bado eneo dogo sana tu ambalo unahitaji Delivarance

Unataka kutetea huu upuuzi...

Mnamfanya Mungu ni kiziwi..mimi nasali kimya chbani kwangu na Mungu anajibu maombi yangu mpaka nashangaa....

Kwann sala zako ziwe kero kwa wengine...Hao Wamarekani waliowaletea madhehebu yenu wenyewe huko makwao kwenye makanisa yao (mega churches)wamefunga sound proof na wala husikii sauti hata moja..

Umefungwa na unahitahitaji kufunguliwa...unatumia nguvu kubwa kumtafuta Mungu..
 
Sasa solution ya kupunguza sauti ndio kubomoa kanisa?

au walikuwa na kosa la kujenga kinyume na sheria?

Na kama ni kelele wabomoe na Bar zinazotusumbua kwa kelel na kuharibu maadili ya jamii pia.

Navyojua walokole walivyo na kichwa na ngumu huenda walipewa onyo mara kadhaa wakakaidi...

Maana huenda walipuuza onyo hilo wakishutumu ni mbinu za Ibilisi na kudanganyana waendelee kupaza sauti ili ibilisi ashindwe..

Matokeo yake Kanisa limevunjwa....
 
Bora WAMEVUNJA! haya madisco ya kukata mauno makanisani YAMETUCHOSHA.

Hongera sana Viongozi wa arusha.
Sogeeni na huku Dar, tunakosa Usingizi kwa makelele ya hawa walokole.
Hivi na yesu wa msalabani alikuwa ana kelele namna hii kweli?
Cc Mlaleo Ishmael 2013 MOSSAD II
wangekuwa umevunjwa "msikiti": mngeandamana hadi arabuni wangeandamana utadhani ISIS kahamia Tanzania.
 
Nasikia wewe ni shehe wa msikiti wa mtamban.
 
Last edited by a moderator:
wangekuwa umevunjwa "msikiti": mngeandamana hadi arabuni wangeandamana utadhani ISIS kahamia Tanzania.

Miskiti haivunji sheria, na iko vile vile kwa miaka zaidi ya 1500!

Makanisa kila siku yanatuletea balaa mpya!
Mara watoto wabakwe! Mara Makanisa specialising In the DEVILS ONLY! MARA Makanisa ya Waliberali, mara ya wanyonga viuno!
Yaani balaa tu.

Na bado! Serikali itavunja mengi tu.
Manake mnafungua Majumba ya DANSI halafu mnayaita Makanisa.

Hebu nionyeshe andiko lolote linaloonyesha YESU au Wanafunzi wake wote 12 WALIIMBA na kucheza! Na wanawake zao wakatikisa makalio makanisani!

Kwanza HAKUNA SEHEMU Yyt ktk Historia YESU ALIJENGA KANISA au Wanafunzi wake WALIJENGA KANISA au KUSALI KANISANI.!!!!

Huu ni UZUSHI TU WA WAGALATIA.

Kwanza yanatakiwa Yote tu yavunjwe!
Hayamo kwenye MAANDIKO YYT?
 
Teh teh teh!
We mkuu kweli umemchoka yesu!
Unasema KWAWAMBWA?
Unafahamu maana ya Kuwambwa wewe?
Ama kweli waefeso mmechoka imani yenu.
Halafu zile spika za miskitini zimewekwa Kuwakumbusha watu kuja kuswali mara Tano kwa siku.
Sasa ulitaka wapita njia au walioko kwenye Pirika za dunia Waweke Alarm saa saba mchana na saa kumi jioni?
Huo ni mwito ambao hauzidi dakika 2!
Sio hayo ma kwasakwasa mpaka tunakosa raha kwenye majumba yetu.

Yafungwe tu!
Kwanza Biblia INAKATAZA KUSALI kwa Kujionyesha.
Mnatakiwa Msali kimya kabisa na milango mfunge.

mbona muhishimiwa waziri wa elim naye "kawambwa"? Ila sina uhakika kama ni msalabani najua tu kuwa naye Kawambwa.
 
Askari wa jiji zaidi ya 10 wamebomoa kanisa la kiroho la Israël mkombozi la Nabii Ernest katika eneo la Njiro lililokuwa likilalamikiwa kwa kufanya maombi nyakati za usiku n'a kupiga kelele kwa wakazi jirani n'a kanisa hilo.waumini walia kwa sauti kubwa n'a kujitupa ovyo wengine wamwaga maombi ya kuwalaani waliovunja nyumba ya mungu.

hao poliCCM waliobomoa nyumba ya ibada laana ya Mungu na iwe juu yao.
 
Askari wa jiji zaidi ya 10 wamebomoa kanisa la kiroho la Israël mkombozi la Nabii Ernest katika eneo la Njiro lililokuwa likilalamikiwa kwa kufanya maombi nyakati za usiku n'a kupiga kelele kwa wakazi jirani n'a kanisa hilo.waumini walia kwa sauti kubwa n'a kujitupa ovyo wengine wamwaga maombi ya kuwalaani waliovunja nyumba ya mungu.

Teh teh teh!
Eti wanafikiri watapunguza ukuaji wa ukristo kwa kubomoa makanisa!!?
Mkibomoa makanisa tutasali viwanjani,mkifunga viwanja tutasali mpaka barabarani!Mkitukamata na kutupeleka jela tutahubiri injili humo humo jela ili watu wakombolewe!
Mtavunja makanisa mpaka basi maana tutayajenga mpaka milangoni mwa WAPAGANI!!

Andaeni mgambo wa kutosha kuvunja idadi kuuubwa ya makanisa yatakayojengwa!

Maana ninachokiona ni wivu tu wa wapagani!Wanaona nyumba zao za ibada wanaswali watu wawili watatu basi wanatumia madaraka waliyopewa kupunguza kasi ya watu KUOKOKA!

Na bado!
 
Askari wa jiji zaidi ya 10 wamebomoa kanisa la kiroho la Israël mkombozi la Nabii Ernest katika eneo la Njiro lililokuwa likilalamikiwa kwa kufanya maombi nyakati za usiku n'a kupiga kelele kwa wakazi jirani n'a kanisa hilo.waumini walia kwa sauti kubwa n'a kujitupa ovyo wengine wamwaga maombi ya kuwalaani waliovunja nyumba ya mungu.

ingekuwa ni msikiti leo tanzania ingebadilika rangi na kuwa damu.
misikiti mingapi inatupigia kelele usiku hapa njiro?
basi wajenge msikiti hapo palipobomolewa.
 
kusema kweli hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya kutoka kwenye nyumba yoyoe ya ibada, mkutano wa kidini, maonyesho ya mziki, matamasha, sherehe, magari ya matangazo na kelele zinginezo, hasa maeneo ya makazi nyakati za usiku. Muda wa kupumzika watu wanapiga mikelele tu, inaudhi! Lakini nadhani kisa cha kubomolewa hilo "kanisa" huenda hata hakukuwa na kibali cha kujengwa ama kuwepo nyumba ya ibada katika eneo husika, badala ya kusali kimya kimya wakaanza fujo za mikesha ya maombi na maspika na muziki, makelele ya kumwomba mungu wako mimi yananihusu nini?...sali kimyakimya bila kubughudhi wengine!
 
Back
Top Bottom