Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Wote tutakumbuka kuwa mh. Rais alisha toa agizo kuwa kila halmashauri ihakikishe kuwa hakuna mwanafunzi anakaa chini kwa kutumia mapato ya ndani lakini cha kushangaza halmashauri hii imemtupia mzigo huo mwananchi, wananchi wanadaiwa kulipa hadi 60,000/ kwa kaya.
Kitu ambacho kimechangia kwa sehemu kubwa wananchiwananchi kuichukia serikali hii na kuleta usumbufu mkubwa sana, tunaomba ufafanuzi katika hili ,jee rais alisema wachangie wananchi na watumish au mapato ya ndani ya halmashauri husika ndio yatumike kutengeneza madawati hayo? Maana imekuwa hadi kero kwakweli.