ni kweli kabisa na mimi hilo ndo lilinishangaza kwamba kwa nini wasichanganye?Hahaha kumbe unaelewa
Lakini pia nyie ni watu wa hisia sanaa
Wataanza kufanya maamuzi hapo bila yak kuwa logical zaiid li sababu ya hasira, huruma au furaha
Simaanishi kuwa hamko wachapakazi hapana ila mnahitaji usimamizi wa wanaume
Ni kama vile nyumbani bila nyie mambo hayaendi
a
uko sahihi,Mimi mwenyewe hapa though na jiamini ila kuna mda namuhitaji mwanaume kuniongoza.Mwanamke hafanyi maamuzi bila kumshirikisha mwanaume.
Hata kama hajaolewa, lazima kuna mwanaume anayemwamini na huyo ndiye msaidizi wake katika maaumuzi.
Ok, vizurihilo bado sijalijua ila katika suala la utendaji nimesikia kidogo kuna namna kumelegalega hasa upande wa DED bila shaka tutawapata wenyeji wa huko
Ndiyo maana yake. Tuambie RC ni nani kwenye Halmashauri?Kwa hiyo hujui RC ni nani katika Halmashauri au?
Ni sawa.Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.
katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?
Nipo hapa kujifunza
Upendeleo wa nini,ama ni wapi mafanikio yamewahi kuoonekana?sijakupata vema mkuu
Always positive...kudos...πππππHaijalishi ila kiongozi gani, anatakiwa awe na uwezo tu, haijalishi jinsia yake.
Pole pole utazoeaprobably
RC ni bosi wa halmashauri zote zilizopo mkoani kwakeRC ndiyo nani katika ngazi ya Halmashauri?
Mno sana wakwetu π€Always positive...kudos...πππππ
Chini ya DED wapo wasaidizi wengi tu wanaume.mi ni mwanamke mkuu,nawajua wanawake wenzangu pia though mimi napambana ila nature ni nature
RC ni bosi wa halmashauri zote zilizopo mkoani kwake
RC ni bosi wa halmashauri zote zilizopo mkoani kwake
Watoto wa 2000 buana, ni taabu sana!RC ni bosi wa halmashauri zote zilizopo mkoani kwake
Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.
katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?
Nipo hapa kujifunza
Ndiye Mkuu wa Mkoa ambapo Halmashauri zote zipo chini yake.Ndiyo maana yake. Tuambie RC ni nani kwenye Halmashauri?
Aisee sawauko sahihi,Mimi mwenyewe hapa though na jiamini ila kuna mda namuhitaji mwanaume kuniongoza.