Halmashauri hizi zijiandae kufunga mkanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri hizi zijiandae kufunga mkanda

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jackbauer, Nov 4, 2010.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Maono yangu miaka mi5 ijayo:halmashauri zilizoleta mabadiliko na kutwaliwa na chadema zijiandae kufunga mkanda kwani iwapo CCM itashika dola basi ni wazi itatumia mbinu zote chafu ili kuonyesha upinzani ni dhaifu.ni wazi kuwa CCM imepata pigo kupoteza majimbo yenye ushawishi ktk kila hali especially uchumi na siasa ktk Tanzania na EAC kwa ujumla.kwa CCM ,kuachia majimbo haya yafanikiwe ni sawa na kusign death certificate kabla ya 2015.tutegemee kuona msaada kutoka central goverment ukipungua,msuguano kati ya pande hizi mbili kuwa mkubwa.mfano wa haya nisemayo upo;ni hivi karibuni nchini uganda wameamua kurudisha mamlaka za majiji chini ya serikali kuu.kulikua na msuguano mkali kati pande hizi mbili kwa sababu KCC(KAMPALA CITY COUNCIL) iko chini ya upinzani.hivyo maoni yangu kwa wananchi na viongozi wa sehemu husika wawe tayari kwa challenge hii inayokuja,watahitaji 'kufunga mkanda' kupambana ,kuwa majasiri zaidi,wavumilivu na wabunifu ili kujiletea maendeleo yao wakiwa huru dhidi ya makucha ya mafedhuli na mafisadi."mapambano ya kuikomboa Tanganyika(zanzibar ni nchi huru) ndio yameanza.umahiri waliounyesha na watakaonyesha kwa kipindi kijacho cha 5yrs utakuwa ni chachu ya mabadiliko kwa taifa hili.VIVA! ARUSHA ,MBEYA MWANZA.....mapambano yaendelee mpaka kieleweke.naomba kuwasilisha!
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Of course, this was the case hata Harare Zimbabwe for some 10 yrs.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ndivyo itakavyokuwa but nonsense. Karatu , na moshi mjini for the past 5 years wamefunga mkanda? Wakitaka tutaenda kwa jirani kuomba chumvi
   
 4. markach

  markach Senior Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani Naomba Mnisaidie kufahama chadema wamechukua Halmashauri Ngapi? na Zipi?
   
 5. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Good observation, but it's on the wrong thread!
   
 6. J

  Jafar JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hizo Halmashauri zitaendelea bila ya msaada wa CCM. Acheni mawazo mgando, nchi hii itaendelea kwa spidi kubwa iwapo tu CCM itakaa kwenye "myuziamu".  '... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ..." (Godbless Lema, MP)
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kweli ee?basi MODS waihamishe.c unajua nimengia hivi majuzi
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hII NI MBAYA SANA,KWANI USIPOWAPELEKEA MAENDELEO WANANCHI WALIOWACHAGUA WAPINZANI NI KUVUNJA HAKI YAO YA MSINGI YA KIKATIBA.
   
 9. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  True That,City council zote bila CCM inawezekana
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  karatu wana uzoefu na msimamo.moshi mjini kuna mzee ndesamburo(aka ndesapesa).hizo nilizotaja ndio mara ya kwanza kushikwa na upinzani.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa Mbeya mjini labda RC aliyepo atolewa jamaa ana visirani vibaya
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Definitely... Angalia kilimanjaro ilivotupwa china JK... Sehemu kubwa na maendeleo inasukumwa na wana Kilimanjaro wenyewe.. serikali ni kzindua tu.
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kilimanjaro ni mkoa uliotupwa na Serikali tangu enzi za Nyerere, lakini maendeleo yake hayajawahi kurudi nyuma,, zaidi yanasonga mbele kila siku.. Labda Halmashauri nyingine zijifunze kutoka Kilimanjaro.
   
Loading...