Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
heheheheheheheheeeeeeeeeeiya!!!!
weeeeeeee Blue G .......................:bange::A S 112:
:welcome:
:A S-confused1:
Mmmmmmmhhhhhh haya bana karibu,ila gia uliyoingia nayo........Hallo wana chitchat mi ni mgeni hapa chitchat ila nimevutiwa sana na comments zenu na jinsi mnavyoenjoy pamoja ,nikaona mi pia nijunge nanyi tafadhalini naomba mnipokeeni.
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Copy Hiroaki Akahoshi Chimbuvu Suprise Paloma na wengine wote wa jukwaa hili la C.C hao ni wachache tu ambao nimewajua kwa siku hii ya leo.
tranny or shemale
Yah of course bado naistahili sana tu hiyo heshima yako kwani kama we mwenyewe ulivyosema umdhaniae ndiye kumbe siye na udhaniavyo ndivyo kumbe sivyo,mi situmii Id mbili wala nini huyo Vincent Pema Butage ni mtu mwingine tofauti na ndiye alyekuwa anaomba uenyeji humu C.C sasa katika kumfundisha namna ya kuchat ndo hapo sasa confusion ilpotokea so unavyodhani ndivyo sivyo mkuu mi ni Blue G yuleyule wa siku zote,Ihope utakuwa umenisoma mkuu watu8.
Shikamo Blue G my mkubwa ,Leo siendi tuition nimechokaaa!
Paloma my dear wala usistuke wala nini mi ni Blue G yuleyule mliemzoea na wala situmii Id mbili kama inavyojionyesha nilikuwa namfundisha kijana huyo mgeni namna ya kuchat humu jf na anafikiri hapo ndipo mkanaganyiko ulipotokea so naombeni mnielewe na mumpokee vincent Pema Butage.I hope umenisoma Paloma.
Mmmmmmmhhhhhh haya bana karibu,ila gia uliyoingia nayo........
Marahaba my mdogo nini kimekuchosha?Au jana ulikuwa kwenye shughuli za kuvunja vyama vya watu??????maanake dogo kwa ukorofi tu dahhhhhhh nimkunyooshea mikono.unavyopenda fujo!!!!!!!!Sijui kwa nini hujanirithi mi kaka yako mi wala hata sio mchokozi.
ngumu kumesa...kumbuka unaongea na mtu ambaye nipo kwenye ulimwengu wa IT, System Admin n.k...najua ni kigezo kipi mods hukitumia kumerge ID's...hiyo sababu yako mmmh:nono:
Suprise hajaingia humu jukwaani muda mrefu sana, sasa hebu niambie huyo Vincent alimjuaje hata akamujumisha kwenye CC
Pole sana mkuu ila i hope siku zinavyoenda itafikia wakati utanielewa coz sio rahisi kwa sasa i know,ila narudia tena it's just a confusion happened during the teaching lesson between i and Vincent.Peace and love mkuu watu8.
Marahaba my mdogo nini kimekuchosha?Au jana ulikuwa kwenye shughuli za kuvunja vyama vya watu??????maanake dogo kwa ukorofi tu dahhhhhhh nimkunyooshea mikono.unavyopenda fujo!!!!!!!!Sijui kwa nini hujanirithi mi kaka yako mi wala hata sio mchokozi.