Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Hallo wana chitchat mi ni mgeni hapa chitchat ila nimevutiwa sana na comments zenu na jinsi mnavyoenjoy pamoja ,nikaona mi pia nijunge nanyi tafadhalini naomba mnipokeeni.
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Copy Hiroaki Akahoshi Chimbuvu Suprise Paloma na wengine wote wa jukwaa hili la C.C hao ni wachache tu ambao nimewajua kwa siku hii ya leo.
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Copy Hiroaki Akahoshi Chimbuvu Suprise Paloma na wengine wote wa jukwaa hili la C.C hao ni wachache tu ambao nimewajua kwa siku hii ya leo.
Last edited by a moderator: