Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Changa la macho.
Hakuna mpya hapa.
umeona eeenh....ila hilo jinale tu........lol
Changa la macho.
Hakuna mpya hapa.
welukam our furendishipu to pulomoti our furendishipu in ze jf cc!!!
umeona eeenh....ila hilo jinale tu........lol
Acha nimpige mkwara, unataka aninyang'anye tonge mdomoni?. amekukaribia hadi nikaogopa!. miaivo ukimtaja mtu kwako weye ina maana unamtaka?!?!
Hallo wana chitchat mi ni mgeni hapa chitchat ila nimevutiwa sana na comments zenu na jinsi mnavyoenjoy pamoja ,nikaona mi pia nijunge nanyi tafadhalini naomba mnipokeeni.
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Copy Hiroaki Akahoshi Chimbuvu Suprise Paloma na wengine wote wa jukwaa hili la C.C hao ni wachache tu ambao nimewajua kwa siku hii ya leo.
Acha nimpige mkwara, unataka aninyang'anye tonge mdomoni?. amekukaribia hadi nikaogopa!. mia
eeeenh,,,,,,,,,,,na hichi kim :rain:na kibaridi......angalia asijelowea!!!!
Kwa nini iwe leo? Na usije zamani?
Nway "pata karibu fukuto"
Acha nimpige mkwara, unataka aninyang'anye tonge mdomoni?. amekukaribia hadi nikaogopa!. mia
Naishi Mkoani Mwanza Wilayani Geita Nipo kikazi.
Acha nimpige mkwara, unataka aninyang'anye tonge mdomoni?. amekukaribia hadi nikaogopa!. mia
unaisi mwanza tena upo kikazi dooooh ukinzani huu..,
sijakuelewa ng'ooo
ivo ukimtaja mtu kwako weye ina maana unamtaka?!?!