Hallo chit chat members pease accept me am new here.

Hallo chit chat members pease accept me am new here.

Status
Not open for further replies.
Wangu nikipi kinashindikana hapa Duniani kama unamawee yakutosha nina mawe hata Bili Getti hafati we sema unaweza nifundisaa Paloma
twisheni fii yangu inaliwpa kidhungu ....utaweza?
kwanza umekaguliwa......nani anakaguaga me Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Utanielewa pindi utapo acha michezoo pindi ninapo kuwa nakufunisha na utakuwa na ufauru mzuri sana kumbuka mimi ni mwalimu pekee niliee baki hapa duniani mwenyekipaji tosha @stevoh

hapo kwenye red sijaelewa hicho ulichoandika ng'oo na utanifundisha nini na niache michezo gan??
 
Unajua siku zote mbishi namsumbufu huwa anahitaji kuelewa zaid kama wewe unavyo niswalika zaidi unahitaji kuelewa ni kufundishavyo but kiwa mvumilivu coz mwalimu nipo mimi tu na madarasa mengi sasa kuwa mvumilivu stevoh
hapo kwenye red sijaelewa hicho ulichoandika ng'oo na utanifundisha nini na niache michezo gan??
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom