Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Narudia tena, hii maneno huwezi kunidanganya....ninajua utaratibu wa ku-merge ID's unavyofanyika...binafsi nipo kwenye IT industry...you were just caught pissing/shitting in your own backyard!!!
Haya banah ngoja nikakuombee ruhusa kwa mwalimu ticha wako usje ukachapwa bure.
ngumu kumesa...kumbuka unaongea na mtu ambaye nipo kwenye ulimwengu wa IT, System Admin n.k...najua ni kigezo kipi mods hukitumia kumerge ID's...hiyo sababu yako mmmh:nono:
Suprise hajaingia humu jukwaani muda mrefu sana, sasa hebu niambie huyo Vincent alimjuaje hata akamujumisha kwenye CC
Fine then if that's what has come to your head.i've explain what i had too because i do respect my relationship with all the Jf members inlcuding you and i don't want to confuse any of the members,but if you don't want to accept and understand my expalanation then i'll have to leave you, as you are the judge of your thoughts and no one can control them.good day watu8.
Hahahah...kwa hiyo ndio kusema Invisible amekuonea?...kama vipi tumuite hapa maana alishasema atakuwa anakuja huku mara kwa mara kufyeka vichaka.
Tafadhali nahitaji muongozo wako hapo...
My mdogo kwa nini unauliza hivyo kwani imekuwaje?
Do what you think is is going to help,wala mi sina mwongozo wowote hapa,fanya unaloona ni sawa kwako.
Hahahahahaaaa hata mimi nimeanza kuona maluweluwe aisee Blue G mi sijakuelewa kabisaaa ila kwa kuwa na mimi ni muelewa nimekusoma!
Pole sana! Hope ID ziko merged!
Hehehehee wageni wa kuja na ID nyingine siwapendi hata kidogo watu8 yan huwa naona kama wanakuja kutuchezea akili....sasa hebu ona alivyodhalilika lol aibu mkuu!Hahahaha hebu mkaribishe mgeni wetu Ndyofu baridiiiii....
Hamuwezi kuendelea kuwa humu wote coz ID zenu zimeunganisha Blue GAsante kwa uelewa wako Erickb52 na wala usione maluweluwe kwani Id hazitakuwa merged wala nini coz ni id mbili na za watu wawili tofauti isipokuwa mkanganyiko tu ulitokea kama nilivyokuelewesha hapo mwanzo,so Blue G nitaendelea kuwa humu jf kama Blue G NA HUYO VINCET PIA ATAENDELEA KUWA HUMU KWA HILO JINA LAKE.
Umeona eeeeehHahahaha sasa mbona unapandwa na adrenaline!!!!
Asante kwa uelewa wako Erickb52 na wala usione maluweluwe kwani Id hazitakuwa merged wala nini coz ni id mbili na za watu wawili tofauti isipokuwa mkanganyiko tu ulitokea kama nilivyokuelewesha hapo mwanzo,so Blue G nitaendelea kuwa humu jf kama Blue G NA HUYO VINCET PIA ATAENDELEA KUWA HUMU KWA HILO JINA LAKE.
Ukiwa hapa JF, hesabu ya 1 + 1 = 1 na sio 2....:nono::nono: