Halima Mdee: Sisi wabunge tunaochangia pesa pia ni wajumbe wa kamati kuu na huwa tunapata taarifa za mapato na matumizi

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.

Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??

Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.

Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.

Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.

Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.

Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
 
Mafisi ya Lumumba lazima yanune!!

Alieitwa Pimbi akisoma hili bandiko,lazima afure!!

Sijui Mdee ataitwa tena kuhojiwa!

Fukuzeni hayo mamluki yakalambe miguu ya bwana yule kuelekea 2020.

Mdee ni mfia chama na ni mwanamke strong kuliko baadhi ya wanaume kama kina Dr.Mihogo walioasi chama kwa ahadi ya kupewa vyeo!!
 
Dadadeki wanawake wa ccm kyupi kimewabana,wamepewa za uso mpka manundu.ccm nawashauri wanywe maji mengi sana ili mdomo upate ladha mana ukweli huu ni mchungu kama lodwa..leo watalala na dawa za presha
Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.

Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??

Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.

Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.

Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.

Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.

Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
 
Halima
Mnyika
Sugu
Lema
Boniface
Hawa ni wafia chama
Dada yangu Khalima nakukedhia mwanawa. Ili ni ithanga na ithanga lienda vandu vawazi, wetu, kaichija ao matundu mwethilie, mrungu emanje.

Hakila choko choko jazidi ni koba mwanawa mvainge du uo mchanganuo wa magwala venehuja venye miracho wekidha kwa kuberesha, kuthola kana kuchikira chethikaghenje kindu.

Njika na vome mwanawa.
 
Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.

Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??

Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.

Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.

Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.

Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.

Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
Kigogo 2014 ni noma.........Chadema watamuota usiku kucha na lazima waitishe kamati kuu kabla mwezi haujaisha!
 
Atuambie jimboni kwäke anafanya nini?
 
Nilipoleta mada kuwa Lissu akiangalie kwa makini chama hiki, watu wengi wakaniletea povu humu ndani. Ooh usimpangie cha kufanya! Ooh usimfundishe uoga!

Kama kuna watu walienda kinyume cha makubaliano ya chama mkaamua kuwalea, labda mkiogopa mkiwafukuza hamtaweza kurudisha majimbo, leo hamna sababu ya kulialia.

Mambo kama haya hauwezi kuyasikia yanatoka nje ya vikao rasmi vya CCM.
 
Anaandika Halima James Mdee (Mb), Mjumbe Wa Kamati Kuu CHADEMA.

Sisi wabunge tunaochangia PESA na ambao ni WAJUMBE wa KAMATI KUU tunaopata fursa ya kupata taarifa za MAPATO na Matumizi ya CHAMA TUNATHIBITISHA hakuna hata 100 iliyoliwa na MTU..Wakongwe katika hiki CHAMA tunajua kila mwaka wa UCHAGUZI ukifika kuna CHOKOCHOKO nyingi zinazohusu FEDHA. Najiuliza tu, hivi kama hizo pesa za UMMA zinapigwa na WATU kwenye CHAMA namna hiyo mbona SERIKALI ya CCM tena MAGUFULI anavyotuchukia ASITUFUNGULIE MASHTAKA YA UHUJUMU UCHUMI??

Hivi MNAVYOONA SHUGHULI za CHAMA zinaendelea NCHI nzima yenye ukubwa wa sQuare KM 945,087 mnadhani pesa inatoka wapi? Mnavyoona Pikipiki zinakwenda nchi NZIMA sio mara moja au mbili mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnapoona M4C mpya zinanunuliwa mnadhani pesa inatoka wapi?? Sasa hivi CHAMA kiko kwenye Chaguzi NCHI nzima mnadhani pesa zinatoka wapi? Mnajua gharama za Matibabu ya KAMANDA wetu mpaka sasa hivi IMEGHARIMU kiasi GANI na CHAMA kimeshatumia KIASI gani ??Mnataka SASA tuanze kurusha Twitter AU INSTAGRAM au kwenye HIZI groups???mapato na matumizi ya chama?? Wenyeviti na MAKATIBU wa KANDA zenu WAJUMBE wa KAMATI KUU, wanajua TAARIFA zote za FEDHA. Wafuateni KWENYE ofisi zao wawape Ufafanuzi wa jambo lolote mnalodhani linahitaji ufafanuzi. Ni kweli kuna wabunge ambao UTEKELEZAJI wa TAKWA la KATIBA la KUCHANGIA chama umekuwa ukiwauma SANA.

Hawajawahi kutaka toka awali, hawa ndio walienda kulalamika kwa NDUGAI na Hawa ndio wanafanya kazi na CCM Bungeni kuumiza au kuwachonganisha wabunge wenzao na MHIMILI. Miaka yote kabla 2015, tumekuwa tukichanga kwa kukatwa moja kwa moja na ofisi ya katibu ya Bunge.

Baada ya 2015 tumeendelea kukatwa mpaka hao WAPUUZI wanaojulikana hawajaenda kwa ADUI yetu kumwambia CDM haitetereki sababu wabunge tunachangia na kwamba AKIZUIA CHAMA kitasota, na KWELI YULE PIMBI akazuia. Kumbe wabunge WALIOPELEKA HUO uzushi wamesukumwa na UBINAFSI wao wa KUKOPA mpaka kupitiliza... mpaka kufikia hatua ya kuona MCHANGO HALALI wa KIKATIBA ni HISANI kwa CHAMA.

Wamesahau na SISI huko nyuma tukiwa WACHACHE tulichanga kwa UAMINIFU MKUBWA ndio maana WAO wakapatikana. Tuna wabunge WAFIA CHAMA, lakini pia tuna wabunge MASLAHI . Ni ukweli mchungu!! Tukiimarishe CHAMA , tupate WAWAKILISHI wanaotanguliza MASLAHI ya UMMA na CHAMA kabla ya MASLAHI yao BINAFSI. Nashukuru MUNGU MAGUMU tunayoyapitia MSIMU HUU yanatukomaza na kutufanya TUJUANE ZAIDI.

Ukijisikia ku screen short na kupeleka UCHOCHORONI, peleka TU!
Nimalizie kwa kuwapa dedication ya wimbo MPYA wa ROSTAM na Ney wa MITEGO... usikilize kwa makini.
Hili lichama la wezi wezi
 
Back
Top Bottom