Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Rutashubanyuma, Apr 16, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Halima Mdee terms marriage vows a political ploy...........  hii ni mbaya sana kwa Halima Mdee.................kumbe akiwa jukwaani huropoka tu na wala hajali kuwa anapotosha wapigakura ili mradi apate mkate wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Kuanzia sasa mimi kumwamini itakuwa ni vigumu kwa sababu sijui lipi lina ukweli na lipi anajiongelea tu ili mradi aambulie mkate wake...........lol.
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hee!
  Yamekua hayo tena ?
  Imekua yale ya "chomoa nipumue!"
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,077
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  kuna mahali niliona kuwa ana katabia kabaya,
  atakuwa ameshanogea hawezi kuolewa tena
   
 4. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Duu! Mi nilitaka kutupia ka proposal hapo nichuane na Nasari?
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Niliandika ktk post zilizopita,nikapingwa sana,KESHAZOEA HUYO,HAWEZI NDOA!
  HE!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmmmhhhh!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,813
  Trophy Points: 280
  Unapumulia mashine?
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,813
  Trophy Points: 280
  Afu mkome kumfuatafuata mbunge wangu.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Yaani wamemweka kati huyu dada?

  Ujue kila mtu ukiwekwa kati watu wakuchambue utakutwa na mapungufu kibao kama binadamu, anyway its a free world.

   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Nina mashine ya kusaga hapa, nashangaa badala ya kusaga inakoboa.

   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Konkasheni diagnosis ndiyo wapumuavyo.
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nani wakumweka ndani mdee yule mmeru anataka ajikanumba tu.Kuna wanawake wa kuwaoa kwani hamuwajui jamani.Haya mi napita
   
 13. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,129
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kumbe watu mlilichukulia serious kiasi hiki loh hiv amuon kuwa atakabemenda katoto ka watu?
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Masikini Dogo Janja? Nilikuwa nishamuonea wivu hivoo, kweli kisicho riziki hakiliki.
   
 15. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145  uliona akiwa anakafanya??
  umethibitisha??
  au umesikia watu wanasema na wewe ukaamua useme....
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  maisha yake binafsi hayatusaidii kupunguza bei ya petroli
   
 17. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amesema sasa yuko tayari kufunga ndoa na Mbunge mteule wa chama hicho wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.


  “Nafurahi kwamba Nassari hatimaye ameshinda ubunge katika uchaguzi mdogo,” alisema Mdee wakati akihutubia maelfu ya wakazi wa Arusha na Meru juzi katika viwanja vya Leganga kusherehekea ushindi wa chama chake katika uchaguzi huo.

  Mdee alifafanua, kwamba yeye na chama chake walikuwa wamebanwa na kampeni za kuhakikisha Chadema inatwaa jimbo la Arumeru Mashariki na ndiyo sababu hakujibu mara moja maombi ya Nassari ya kumwoa aliyoyatoa katika moja ya mikutano yake ya kampeni.

  “Naondoka kwenda Dar es Salaam kujiandaa kwa Mkutano ujao wa Bunge, kisha nitakwenda Dodoma ambako nitamsubiri Nassari na kwa pamoja tutafanya maandalizi,” alisema Mdee huku akishangiliwa na hadhira hiyo huku wakiimba na kucheza katikati ya mvua iliyokuwa ikinyesha.

  Mdee alisema ndoa kati ya wabunge hao wawili wa Chadema ni wazo zuri na itatangazwa sana na kuandika historia.

  Alipoona anashambuliwa sana na wapinzani wake juu ya useja wake katika kampeni hizo, Nassari hatimaye alitangaza kumwoa Mdee ambaye pia hajaolewa.

  Na katika moja ya mikutano ya hadhara, alisimama naye jukwaani kukampeni.

  “Kuna viongozi wengi wa kidini Dodoma, ikiwa ni pamoja na ndani ya Bunge ambao watatushauri jinsi ya kulitimiza hili,” alisema Mdee na kuongeza kwamba baba yake Joshua, Mchungaji Samuel Nassari alipata kusema, ‘mwanamke mzuri ni zawadi kutoka kwa Mungu’.

  Chadema ina idadi kubwa ya wabunge vijana ambao hawajaoa, ikiwa ni pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’; wa Ubungo, John Mnyika; wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na sasa Nassari.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona ukichangia mada yeyote ya maana humu jamvini zaidi ya kujishughurisha na umbea tu!.....hii sijui ni dalili gani kwa mtoto wa kiume!!!
   
 19. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  una uhakika na uacho kinena?
   
 20. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  lesbo.
   
Loading...