Ungekuwa mwanamke ungelinganishwa na wale wa kona bar..we si ukisema umemchagua mnyika mara hii umehamia kawe...acha umangimeza
Ulimpigia kura wewe gamba!Ritz acha kuchekesha wana jf asubuh hii bwana!
Mkuu Malunde-Malundi, mimi naishi jimboni kwake, 2015 nilijipanga kutest zali, ila kila nikimuona tuu!, naishia kumkodolea macho!. Wengine sisi tiumejaaliwa uwezo mkubwa wa "high state of mind suggestibility", hivyo kwa kwa macho tuu!, nikimtafutia kipindi kumpromoti, itabidi ...(nitashindwa!).Hahaha pasco, sasa mtafutie kipindi maana wewe najua utapromote tu ila pale ni hoja tu kwenda mbele hata nyerere wengine hawakumwelewa hadi kesho akiwemo mkuu wa kaya, pole sana zangu nimechelewa.
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
NGOSWE! Yani tunakutuma kazi ushazama kwenye mapenzi!Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
Hili nalo tatizo la kitaifa,lahitaji mjadala wa kitaifa pia! Yani mtu akiwa CCM haruhusiwi kupongeza ya CDM? And vice versa? Tukubali kukosolewa/kupongezwa kwani watu wote wanaokosoa/kupongeza wana lengo moja tu,ni kujenga Democracy. Tubadilike wadau tuache siasa za kijima.Pasco mada hii umeleta kizandiki so far wewe ni gamba
Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
Mkuu Chifu Emeka Anyaoku, mtu ukiwa kama ni gamba kiukweli na unajitambua kuwa ni gamba ila unajifanya sio gamba, ukiitwa gamba, hilo litakutatiza!.Pasco mada hii umeleta kizandiki so far wewe ni gamba
Hawa ndiyo waliojiandikisha mara mbili!Mwenzetu una bahati sana kupiga kura Ubungo na Kawe
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
Mkuu Gaijin, humu amesifiwa hadi Mama Salma, itakuwa Mdee!, we are all humans na tuna weaknesses zetu!. Kama ni kumsifu, nimemsifu kwenye thread starter nikasema ndiye mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyesimama jimboni!, wengine wote wamebebwa!.Watu wenye sauti kwenye jamii badala ya kusaidia kwenye kuhamasisha nafasi na uwezo wa mwanamke kwenye nafasi za maamuzi, uchumi na siasa mnaanza kusambaza sifa za uzuri wake
Ni aibu
Ritz una lako jambo,nakumbuka mpinzani mkuu wa Mdee alikuwa Mbatia jee???? ... Mnh haya bwana!Kweli kura yangu nilimpa Mdee, rais JK. yule mpinzani wa Mdee alikuwa mwanamke pia akunivutia.
Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".Pasco.
Wakati mwingine.....Ndio namuona.wigi lime mpunguzia uzuri wake.
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
Weekend njema!Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo, Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!