Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

Watanzania tulalamika katiba mbovu kumbe wabovu ni sisi wenyewe kutotii na kuheshimu katiba. Hawa akina Mdee wananajisi katiba yetu.
 
mshawafukuza basi inatosha msiendelee kuwafatafata.wanasiasa wa kweli ni wachache sana waliowengi ni njaa tu.
wajinga ni wale waliopata majera,kufa au kufungwa jela kwaajili ya kupigania siasa za njaa kama za hawa wapinzani wa tz.
Kejeli
 
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
CCM ni ile ile, tunabadili style tu. Tatizo lenu mbowe kawaambia mna matusi na ndiyo maana Dkt Magufuli aliwasaga kama kunguni. Na bado jifanyeni vichaa tena
 
yule jamaa alikuwa katili sana bana, kumtundika marisasi yote hayo lissu kisa? kumnyima matibabu kisa? kumfuta na ubunge kisa? roo mbayaaaa
Siyo huyu mama mnayemsifu leo aliyesikika akisema huyo hakuwa askari wetu? Askari wao ni shupavu hawezi kumkosa mtu kiasi kile 😁😁 kama matibabu ni juu ya bunge siyo raisi. Mihimili tofauti, ninyi si ndo mlikuwa mkisema rais hatakiwi kuingilia mhimili mwingne, leta ushahidi akikataza matibabu ndo tuamin kuwa ni yeye.
 
kaka uliona wapi nchi makini ikampa mtu kama Sabaya ama Bashite mamlaka ya kumsaidia Rais wa nchi ?
Walikuwaje akina makonda? Nchi makini haiwezi kumpa uongoz Mwezi wa Kwanza marope. Tanzania mafuta lazima yapande bei maana si wazalishaji wakati huo mkuu wake anasema bei yetu ni nzuri kuliko kule kwa mzalishaji mkuu USA.
 
Sababu iliyopelekea hao watu kuwepo bungeni mnaikumbuka? Unadhani bi tozo atakuwa na mbadala wa huo mpinga ambao utakuwa kwa sababu hiyo?
 
Sasa aliyekata rufaa unampaje muda aombe msamaha wakati shauri lake halijasikilizwa? Hapo akikuomba msamaha means shauri la rufaa halina maana ni kulitupa tu. Bora nafasi ya kuomba msamaha wangepewa baada ya maamzi ya baraza kuu. Ningekuwa kiongozi, wabadilifu wangejipanga sana wakt wa kunipa maelezo ya upotevu wa rasilimali 😁😁
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Fala hili
 
Ila jamani naomba mwenye taarifa anijuze, hivi tangu hawa watu 19 waingie bungeni CDM haipokei ruzuku kupitia wao?,naamini chama chochote kinapata ruzuku kutokana na namba ya wabunge wake waliopo bungeni.
 
hii nchi mwendazake alitaka kuiharibu vibaya sana, sema mkono wa Bwana umetuokoa !! mambo kama haya ni aibu kubwa kimataifa, looks like we're not organized & uncivilized.
Umeongea bonge la point imaging bila aibu wanaenda let see nae huyo Spika atasema nini na hopeful anajua hayuko enzi za mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…