lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hii nchi ngumu sana,haikuhitaji kwenda mahakamani kujua kua hao wanawake hawakustahili kuwa wabunge kupitia chadema.
Aibu hii.
Aibu hii.
Nilikuwa simwamini Zitto ila Kwa niliyoyapitia Kwa ndugu hao wa Kaskazini, kwakweli Zitto anastahili pongezi. These guys some of them are so greedy and selfish kupitilizaWakihamia huko ntacheka. Nakumbuka halima alivyokuwa anamchukia zitto hata wakikutana anamtazama kama anataka kutaoika akifinya yeye ni.mwaminifu sana kwa mwenyekiti.
Hii dunia bwana
Katage KizimkaziIt makes sense kuliko kwenda chama chakavu Cha Machadema hayaaminiani 😁😁
Weka ushahidiNilikuwa simwamini Zitto ila Kwa niliyoyapitia Kwa ndugu hao wa Kaskazini, kwakweli Zitto anastahili pongezi. These guys some of them are so greedy and selfish kupitiliza
Yani unatumia jina feki lakini hauwezi kusema nini kilikusibu? Unamuogopa nani kuyataja hayo ambayo umeyapitia endapo ni mabaya kama unavyosema?Nilikuwa simwamini Zitto ila Kwa niliyoyapitia Kwa ndugu hao wa Kaskazini, kwakweli Zitto anastahili pongezi. These guys some of them are so greedy and selfish kupitiliza
Hapana hao wadada sio CCM na wanaipenda sana CHADEMA tatizo walikiuka sharti la chama mimi nashauri wasahamiane tu au waende ACT hao wakati marehemu dr magufuli hawakutaka kuunga juhudi kama wengine waliohamia CCM hao hawawezi kuwa CCM kamweHao walishapewa kadi za CCM kitambo!
Chadema imepoteza mvuto, bora wahamie ACT, ACT ni chama makini sana
Nilikuwa simwamini Zitto ila Kwa niliyoyapitia Kwa ndugu hao wa Kaskazini, kwakweli Zitto anastahili pongezi. These guys some of them are so greedy and selfish kupitiliza
Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio taarifa mpya ya leo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Addo Shaibu, kwamba chama chake kimetambua ukweli kwamba watu hao wanaoitwa Wabunge wa Viti Maalum hawana chama wanachokiwakilisha ndani ya Bunge au popote pale.
Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.
View attachment 2857378
Habari ndio hiyo .Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora waende kwa Mzito Kabwe...Hii ndio taarifa mpya ya leo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Addo Shaibu, kwamba chama chake kimetambua ukweli kwamba watu hao wanaoitwa Wabunge wa Viti Maalum hawana chama wanachokiwakilisha ndani ya Bunge au popote pale.
Kwahiyo ACT imeamua kutumia ubinadamu kuwasitiri watu hao ili kuficha aibu inayowakabili.
View attachment 2857378
Kwa hisani ya kijani
Pole na wewe punguza kuwa greedy na selfishnessPunguza unafiki. Kama huna la kuseama Kaa kimya kuliko kufitini watu.
Siasa ni kama biashara nyengine yoyote, haina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.Wakihamia huko ntacheka. Nakumbuka halima alivyokuwa anamchukia zitto hata wakikutana anamtazama kama anataka kutaoika akifinya yeye ni.mwaminifu sana kwa mwenyekiti.
Hii dunia bwana