ni unafiki wa kiwango cha juu sana kama mnajuwa hamkupeleka majina inamaana kuna jinai kwanini msimpeleke mahakamani?Ni aibu sana kwa mtu kama wewe kuandika uongo huku ukijua ni uongo
ni unafiki wa kiwango cha juu sana kama mnajuwa hamkupeleka majina inamaana kuna jinai kwanini msimpeleke mahakamani?Ni aibu sana kwa mtu kama wewe kuandika uongo huku ukijua ni uongo
Na watapigwa butwaa siku wakusikia wanasamehewa na kuendelea na ubunge wao.yaani hilo ndiyo watu wengi hawajui hizi nyingine ni story tu
Hata Lissu ulisema hatorudi TanzaniaNa watapigwa butwaa siku wakusikia wanasamehewa na kuendelea na ubunge wao.
P
sasa umemuona amerudi?Hata Lissu ulisema hatorudi Tanzania
Naona watarejesha fedha yote ya umma waliyolipwa kama posho, la sivyo mlipaji na wapokeaji washitakiwe kwa ufujaji na uhujumu uchumi.Hii ni kwa sababu kile kikao cha Baraza Kuu kilichosubiriwa kwa Muda mrefu sasa kimewadia , ikumbukwe kwamba Kikao cha Baraza kuu la Chadema ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote , kitafanyika tarehe 11 /05/2022 katika eneo lisilojulikana .
Hiki kikao kinatazamiwa kugongelea msumali wa mwisho kwenye yale maamuzi ya Kamati Kuu , ambayo yaliwavua uongozi na baadaye kuwatimua kwenye chama hicho .
View attachment 2196304
OK. Give them some tea.Hakuna wabunge watakaoniuma kama hawa, kama kweli wataondoka Bungeni. Napenda sana michango yao na namna ambavyo huwa wanaipa changamoto Serikali. Kwanza pamoja na kuipa Serikali chagamoto ; bado hata Serikali yenyewe inawapenda pia
umeandika nini ?Kwa kuwa Chadema,wameitambua Serikali ya Awamu ya sita,Ni dhahiri Chadema itapeleka majina ya wanachama wanaopendekezwa nafasi za ubunge wa viti maalum.Chadema wakifanya hivyo,watakuwa wametimiza takwa la kuwa na wenyeviti kutoka Vyama vya upinzani kwenye kamati za Bunge za mashirika ya imma na Serikali za mitaa kutoka upinzani ili kukizi vigezo vya utawala bora.
Tatizo lilikuwa, katika uchaguzi wa 2020 CCM ilichukua majimbo yote,isipokuwa Nkasi na Mtwara vijijini.
Chadema wakasusia matokeo na wakagoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum.
Walipopitia kanuni za Bunge wakagundua kuna mushkeli.
Plan B ,ikawa kuteua Covid-19 kukidhi matakwa ya kanuni za Bunge.
Fundisho
1).Ukisusa wenzio wanakula,mchezo wa siasa hauhitaji Hasira
2).uchakachuaji ufanywe kwa weledi kuondosha aibu ambayo Chama Tawala ilipata 2020.
3). Ushindi Ni ushindi tu,ili mradi utimize vigezo,hata ukipata 60% inatosha badala ya kuchukua ushindi update 100% ya kura zote, wakati unajua hilo haliwezekani.Hata kwenye familia yako, huwezi kupendwa na watoto wotee,toka enzie za Adam na Hawa.
Nani? Suala la kughushi limefikia wapi? Serikali ilipaswa kujisafisha juu ya sakata kwa kuondoa mashaka yote kwenye zoezi zima!Not necessarily!. Aliyepeleka hayo majina NEC ni kiongozi mkubwa Chadema, unaweza kushangaa wanasamehewa.
P
Why serikali?!. Serikali (NEC) imeletewa majina ya Wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, ikawatangaza na kukikabidhi Bunge. Chadema kwa nje wanadai ni forgery. Kama kuna forgery yoyote, then hiyo ni jinai, hatua ya kwanza kwa jinai yoyote ni kuiripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike, ambapo hatua ya kwanza ni authentication ya barua ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC. Ingethibishwa kuna jinai ya forgery, NEC wangebatilisha uteuzi, na wale wabunge 19 wangevuliwa ubunge.Nani? Suala la kughushi limefikia wapi? Serikali ilipaswa kujisafisha juu ya sakata kwa kuondoa mashaka yote kwenye zoezi zima!
Hivi wewe kwanini huwa unapenda sana wengine kufikwa na mabaya!?Hii ni kwa sababu kile kikao cha Baraza Kuu kilichosubiriwa kwa Muda mrefu sasa kimewadia , ikumbukwe kwamba Kikao cha Baraza kuu la Chadema ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote , kitafanyika tarehe 11 /05/2022 katika eneo lisilojulikana .
Hiki kikao kinatazamiwa kugongelea msumali wa mwisho kwenye yale maamuzi ya Kamati Kuu , ambayo yaliwavua uongozi na baadaye kuwatimua kwenye chama hicho .
View attachment 2196304
Haya maneno yalitakiwa muyaongee pia kwa jamaa wa vyeti feki, ambao wameiba fedha ya Nchi kwa miaka mingi.Naona watarejesha fedha yote ya umma waliyolipwa kama posho, la sivyo mlipaji na wapokeaji washitakiwe kwa ufujaji na uhujumu uchumi.
chongeni tu ila mwisho wa wanafikuna ndo huoo umewadia kawasaidieni kufungasha virago vyaoMagu ana mwaka mmoja, ndugai ana miez kadhaa na bado wapo, au anaewabeba ni mbowe
Hizo siku ishirini bado tu?Hii ni kwa sababu kile kikao cha Baraza Kuu kilichosubiriwa kwa Muda mrefu sasa kimewadia , ikumbukwe kwamba Kikao cha Baraza kuu la Chadema ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote , kitafanyika tarehe 11 /05/2022 katika eneo lisilojulikana .
Hiki kikao kinatazamiwa kugongelea msumali wa mwisho kwenye yale maamuzi ya Kamati Kuu , ambayo yaliwavua uongozi na baadaye kuwatimua kwenye chama hicho .
View attachment 2196304
Mbowe ataweza child support? Au ndio mwaga mboga COVID wamwage ugaliHii ni kwa sababu kile kikao cha Baraza Kuu kilichosubiriwa kwa Muda mrefu sasa kimewadia , ikumbukwe kwamba Kikao cha Baraza kuu la Chadema ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote , kitafanyika tarehe 11 /05/2022 katika eneo lisilojulikana .
Hiki kikao kinatazamiwa kugongelea msumali wa mwisho kwenye yale maamuzi ya Kamati Kuu , ambayo yaliwavua uongozi na baadaye kuwatimua kwenye chama hicho .
View attachment 2196304
..........na yule aliyetoka mahabusu usiku na kusafiri kwenda kuapishwa aliachiwa na CHADEMAHili jambo chadema wengi wanajifanya kulipinga na wakiaminishwa na viongozi wao Ila ukweli ni kuwa chadema walipeleka majina time!
..........na yule aliyetoka mahabusu usiku na kusafiri kwenda kuapishwa aliachiwa na CHADEMA