Halima Mdee na wenzake waanza kufungasha virago vyao bungeni

Kiukweli humu jf tuna mijitu ni viazi halafu mna lugha za chooni!.

Aliteua na kupeleka majina NEC ni kiongozi mkubwa Chadema, Ila amekula kobiz, ingekuwa ni forgery, forgery ni kosa la jinai, hujiulizi kwanini mpaka kesho, Chadema hawajaripoti jinai hii polisi?!.

Baada ya jina la mahabusu kuwemo, ndipo milango ya gereza ikafunguka akatoka. Liweke vizuri post hii kwenye kumbukumbu zako, wakisamehewa ndio utanikumbuka.
P
Hahaha mkuu P,Leo umekasirika,,,
 
Na watapigwa butwaa siku wakusikia wanasamehewa na kuendelea na ubunge wao.

P
Miongoni mwao nimo mm. Nadhani sitoamiji macho yangu na pengine nitazimia kabisa nikisikia Halima na wenzake wamesamehewa.

Kuna uvumi kwamba Mbowe aliwatuma na ndiye aliyempa majina Halima Mdee ili ayapeleke NEC. Wakisamehewa huu utakuwa siyo uvumi tena.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Chadema Mbowe hana Mamlaka ya kuteua wabunge wa viti maalum
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.

Hoja yangu na matamanio yangu ni kuona Halima na wenzake wanalipa gharama ya usaliti kwa kufukuzwa kabisa ndani ya chama na kuondolewa bungeni.

Ili kama inakubalika kisheria chama kiteue wanawake wengine.
 
Hayo ni Kati ya madoa ambayo mama anatakiwa ajitenge nayo baada ya hapo wafunguliwe mashtaka ya kuiibia serikali.
Watumishi wa serikali hewa wanalipwa mafao yao tatizo serikali yenyewe inautaratibu wakuajili watuhewa ........ tumeliwa pesazetu kikubwa mama anatakiwa kujitenga na haowatu Kama ulivosema
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.

Hoja yangu na matamanio yangu ni kuona Halima na wenzake wanalipa gharama ya usaliti kwa kufukuzwa kabisa ndani ya chama na kuondolewa bungeni.

Ili kama inakubalika kisheria chama kiteue wanawake wengine.

Kamati kuu wanajua Adhari za kumfukuza mdee ww uko zako nje unakula kuku uwez kujua hayo mambo

Mdee alishiriki vikao vyote na dabate yote ya kupata majina mpaka siku wanapeleka tume mdee ana details zote
 
Duuh! Hii inakera
Kamati kuu wanajua Adhari za kumfukuza mdee ww uko zako nje unakula kuku uwez kujua hayo mambo

Mdee alishiriki vikao vyote na dabate yote ya kupata majina mpaka siku wanapeleka tume mdee ana details zote.
 
Kamati kuu wanajua Adhari za kumfukuza mdee ww uko zako nje unakula kuku uwez kujua hayo mambo

Mdee alishiriki vikao vyote na dabate yote ya kupata majina mpaka siku wanapeleka tume mdee ana details zote
vikao hivyo vilikuwa vya nani ikiwa kamati kuu haikuwahi kuketi ?
 
Miongoni mwao nimo mm. Nadhani sitoamiji macho yangu na pengine nitazimia kabisa nikisikia Halima na wenzake wamesamehewa.

Kuna uvumi kwamba Mbowe aliwatuma na ndiye aliyempa majina Halima Mdee ili ayapeleke NEC. Wakisamehewa huu utakuwa siyo uvumi tena.
Subiri kuzimia
 
Chama cha kinyanyasaji hiki.

Mnawaonea wanawake 19.

Aibu kubwa sana, wanaume wanakaa kijadili kina mama 19.

Hivi hamna kazi za kufanya.
 
Miongoni mwao nimo mm. Nadhani sitoamiji macho yangu na pengine nitazimia kabisa nikisikia Halima na wenzake wamesamehewa.

Kuna uvumi kwamba Mbowe aliwatuma na ndiye aliyempa majina Halima Mdee ili ayapeleke NEC. Wakisamehewa huu utakuwa siyo uvumi tena.
Mbowe alikuwa na nguvu sana,hadi alitia oda usiku kwa usiku mbunge atolewe akaapishwe,
Hii issue ingekuwa mahakamani ingetuvua nguo yakimazingira
 
Mkuu,nimekuwa msomaji wa mada zako tangu enzi na enzi sijawahi kukuona ukiandika utopolo Kama huu.
Chadema walisha eleza na hatua walizochukua tangu mwanzo ikiwemo kuripoti kwa mamlaka husika juu ya kugushi kwa documents zao .Walieleza tangu mwanzo kuwa ni kweli majina yaliandaliwa Kama procedures za NEC zinavyotaka,kuwa maandalizi mengine hufanyika kabla hata ya uchaguzi mkuu.
Pamoja pengine na udhaifu wa Chadema sidhani Kama wanaweza kuwa vilaza wa kujihujumu wenyewe,Kama ingekuwa na baraka za chama sarakasi zote hizi zilikuwa za nini!?tusimung'unye maneno mamlaka husika yaani BUNGE,NEC waliwachezea mchezo mchafu kwenye hili.
 
Back
Top Bottom