Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Hilo jimbo mlikuwa nalo kabla hakuna chochote mlichofanya, leo mnalitaka tena, nyie ni sawa na tajiri mpumbavu asiejua kutumia alichonacho kwa manufaa yake na wengine, anajirundikia tu ndani halafu anachekelea tu.
Definition yao ya wanyonge ni tofauti kabisa na wanyonge walioko huku mtaani..CCM na serikali yake wanachukua pesa za wafanyakazi waliotaabika miaka yote kazini wanafanyia mambo yao bila ridhaa ya wenye mali.
Huu ni wizi tu kama ulivyo wizi mwingine wowote, halafu wanajitapa serikali ya wanyonge, sijui wanyonge wa aina gani wanaowazungumzia, watastaafu wanahangaikia mafao yao wengine mpaka wanafariki!
This is not fair.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho kaa mkao wa kula🍸🍹🥃🥂🍾acha kushupaza shingo itakatika vipandevipandeHilo jimbo mlikuwa nalo kabla hakuna chochote mlichofanya, leo mnalitaka tena, nyie ni sawa na tajiri mpumbavu asiejua kutumia alichonacho kwa manufaa yake na wengine, anajirundikia tu ndani halafu anachekelea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kesho ni"show me karantin hee,,karantin hee,,karantin hee"Kesho kaa mkao wa kulaacha kushupaza shingo itakatika vipandevipande
Hio bado mapema sana mkuu,ajipe kuanzia miaka 2 hapo na kuendelea ndipo atapata chochote kitu.Mama yangu mwezi wa 8 huu mafao imekuwa kesi
Dumelang
kipindi hiki cha utawala wa magufuli tukilichukua tutaenda nalo sawaHilo jimbo mlikuwa nalo kabla hakuna chochote mlichofanya, leo mnalitaka tena, nyie ni sawa na tajiri mpumbavu asiejua kutumia alichonacho kwa manufaa yake na wengine, anajirundikia tu ndani halafu anachekelea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
UNGEKUWA NA NDUGU ALIYESTAAFU AU WEWE MWENYEWE SIDHANI KAMA UNGESEMA HAYO. KUNA WASTAAFU TANGU NOV.2019 HADI LEO HAWAJAPATA STAHIKI ZAO. Wewe ni mmoja wa wanaowahujumu?Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu
Chadema kwa uzushi ata shetani anawashanga,uzuri watanzania waneshawaona mambumbumbu