HALIMA MDEE: Mbunge asiye na makeke anayetetea Taifa

HALIMA MDEE: Mbunge asiye na makeke anayetetea Taifa

Khaa mie Halima Mdee namkubali sana huwa napenda kumsikiliza akiwa anaongea, akimaliza kwa kweli huwa najisikia faraja kubwa
Kama unampenda Halima mpe smile basi!!!
image.jpg
 
Ni mbunge kijana ambaye ameonyesha kipaji cha hali ya juu cha uongozi.

Nilianza kufundisha UDSM mwaka mmoja na baba yake. Nikiwepo lazima nimpe kura yangu.

Well done Ms Mdee!
 
Back
Top Bottom