We unakaa madongo poromoka nini?Dalili ya wivu,kusolve migogoro ya ardhi nayo ni maendeleo au hujui? nenda kawe ukaone mwenyewe tofauti ya kawe ya Ritta mlaki na y Halima james Mdee.
Ni kweli Halima hana makeke bse yuko anahaha baada ya kuagizwa na Spika wa Bunge kuleta ushahidi wa tuhuma dhidi ya waziri TibaijukaProf Tibaijuka akisikia jina la Halima Mdee anapata kisebu sebu na kiroho papo
Ni kweli Halima hana makeke bse hataki mgogoro wa Chasimba umalizike n viwanja vyake vikachukuliwa na kiwanda.Nikweli kabisa huyu dada ni mfano wa kuigwa
We unakaa madongo poromoka nini?
Jimbo la Kawe linaendelezwa na watu wenyewe bila input yoyote toka huyo Halima.
Ni kilaza kwa ufupi, kama unabisha lete mradi MMOJA TU aliowahi kulobby miaka yake mitano ya kupasha joto kiti cha ubunge.
Usishikilie unyasi wa sifa mkuu.'Mnyongeni mnyongeni lakini haki yake mpeni', Madala hadi mivumoni siku hizi tuna maji ya bomba, hata kama yanatoka mara mbili kwa wiki lakini amethubutu, na kwa hakika amefanikisha, kwani dumu la maji lilisha paa hadi 500. ukizingatia kipato chetu ndo hivo chini ya dola kwa siku!
We unakaa madongo poromoka nini?
Jimbo la Kawe linaendelezwa na watu wenyewe bila input yoyote toka huyo Halima.
Ni kilaza kwa ufupi, kama unabisha lete mradi MMOJA TU aliowahi kulobby miaka yake mitano ya kupasha joto kiti cha ubunge.
Usishikilie unyasi wa sifa mkuu.
Hiyo miradi imebuniwa hata kabla Halima hajamaliza shule!!
Halafu kwa miaka mitano mtu unajigamba kwa miradi iliyokwenye pipeline, kama ni maji hata kwangu bomba la mchina limepita.
mwambieni yeye mwenyewe Halima ajitendee haki na ajitangaze kwa miradi ailoasisi kwa mafanikio.
tibaijuka hatoweza kumsahau hadi anaingia kaburini .
Kama ni mama Tiba ya Kujuka pekee bla Madame Mdee mambo yangekuwa bado sana. We PIMBI acha wivu mbona 2na migogoro mingi kwenye majimbo ya ccm haijata2liwa hadi sasa au Tiba ya Kujuka hayupo?
Ulitaka akupe hongo? Shame on You!Halima ana kazi ya ziada kurudi bungeni 2015.
Nilimpa kura yangu lakini sijaona mrejesho wa kuonekana.
Hata wakazi wa jimbo lake wengi washampotezea.