Halima Mdee; kwenye Jahazi Clouds Radio

Clouds niliacha kusikiliza nilivyomsikia PJ&co walivyokuwa wanampigia kampeni masamaki wa mwaloni.CLOUDS ni magamba fulll!
 
Nape ,nina fuso ipo kibaha naombeni mnipe tenda hiyo shughuli ya jmosi.
 
wakati mwingine ni ngumu sana kuelewa chanzo na maana ya hii bifu inayoendelezwa....Can any one tell me straight away what is wrong with this radio??
 
Badala ya kulezea kero za Kawe hatazitatuaje yeye anaongelea mambo ya Africa Mashariki tu.

Umeanza vizuri kutoa updates, ila kwa hiyo hapo juu umechafua tayali. Subiri kipondo!

Mii Chimooo....ni mtazamo tu!
 
Back
Top Bottom