Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

Woga ni umasikini wa mawazo,,,kuwa jasiri ujenge maisha yako,yaani wewe unashindwa ujasiri na huyu dada,!?
Kuna mtaalam mmoja hapa JF alisema, Ujinga ni pakage ndani yake kuna
~Woga
~Mardhi
~Usaliti
~Umaskini na makorokoro kibao.
 
Kuandika kashaandika, kuja kuelezea hapa ni kama kuzidi kuitangaza, pengine ili takwa lako litimie juu yake. Wengi hatuko tweeter, pengine wala tusingejua hili suala. Sema nia yako hasa ni nini? Ungemuonya huko huko.
 
Hapo Halima na hadhi ya Ubunge na wananchi wanamwita Mheshimiwa. Hiyo lugha inadhalilisha nafasi anayoshikilia na inadhalilisha wanawake. Kuna tofauti gani na kibaka? Hivi hawezi kutumia maneno ya staha kuelezea mawazo yake hata kama hakubaliani na wenzake?
 
Duhh hili neno zito sana. Maneno ya Halima yanaogofya!!
 
Kwa uchapakazi wa Makonda kama wewe ni Mbunge wa Dar arafu unataka kumkashifu inabidi uwe makini sana, unaweza kujikuta inakula kwako
Makonda wa sasa sio yule wa enzi za Bashite, wananchi wamemuelewa sana.
 
Back
Top Bottom