Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

Mkuu Mimi naona kama umeanza kuelezea huo ujumbe maana binafsi sikajui hako kajibwa.
Tafadhali mkuu hako kajibwa ni kanani?
Mkuu, hivi wanamziki waliopigwa 'ban', ukisikiliza miziki yao, wengi hawakutamka matusi ya moja kwa moja, lakini wajuzi wa mambo waliwaelewa walichokimaanisha katika tungo zao, ndiyomaana wakaadhibiwa!
Sasa na hilo neno kajibwa, lazima litapata tafsiri.
 
Moja ya sifa ya "kajibwa" ni kubweka hovyo bila kuchukua any meaningful action na anayebwekewa akisogea mbele tu, kajibwa normally hukunja mkia wake matakoni. Aliyetupiwa hilo dongo nadhani linamstahili.
 
Mkuu, hivi wanamziki waliopigwa 'ban', ukisikiliza miziki yao, wengi hawakutamka matusi ya moja kwa moja, lakini wajuzi wa mambo waliwaelewa walichokimaanisha katika tungo zao, ndiyomaana wakaadhibiwa!
Sasa na hilo neno kajibwa, lazima litapata tafsiri.
Hao wanamuziki uhukumiwa na waziri mwenye dhamana ya miziki bila kusikilizwa, kwahiyo ili umshtaki Mdee inabidi umpeleke mahakamani ukaieleze mahakama hako kajibwa na kanani na aliyekatuma ni nani, tunasubiri atakayeenda mahakamani atwambia hao mbwa tuwajue
 
Jamani kwani kamtaja mtu jina?....hatujui kamaanisha nini kwa uhakika!
Acheni utabiri na hisia mtavuruga ladha ya mwendelezo....
 
Mmh! ninawazo ule wimbo wa Mr Blue atakuwa Mb halima anafafanua
 
Siku zipi waliacha kuwa macho? Hakuna siku ambazo ni nafuu kwa watu wanaotofautiana na serikali, bora kusema tu maana hata ukikaa kimya bado unafuatiliwa so long as hujapiga makofi na kupongeza
 
Afu wakitiwa mbaroni ni mwendo wa kuilaumu serikali inawabana wapinzani. Wakati wachokozi ni wao. Nathubutu kusema wapigwe tu maana hakuna namna tumechoka sasa.
 
Anakwambia nae anapigania haki, kama umeshindwa tu kuheshimu utu wa mtu ukipigania haki ni batili
 
Ha ha ha ha ha kwahyo atakaerespond kwa mdee ndio kajibwa hili jiwe gizan aisee
 
Kama upinzani nikukosea heshima watu wengine basi kazi ipo kwa kweli
 
View attachment 743225
Nimesoma tweet yako kuhusu "kajibwa" kwa hakika umejilipua ila nakushauri tu uwe macho sana maana ujumbe huo sijui utapokelewaje na wahusika.

Nimegundua kwa hakika watu hawarudi nyuma hata kidogo.

Kwani hako kajibwa unakafahamu?na toka lini kukasema kajibwa ikawa shida maana mm kutwa nakasema kajibwa kangu kakidokoa na wala hakana habari na mm.
 
Mkuu asubiri, atapata anachokitaka, wanasheria wake wajiandae Kwa kazi ya ziada kumpatia dhamana, aendeshe kesi akiwa Nje.
Ngoja tujiridhishe kwanza, hakuna atakayetamba Kwa uvunjifu wa maadili hadharani
Kwani kasema hicho kijibwa ni nani? could be you or your father. Ni kitu gani kinakupelekea kuamini kwamba kijibwa ni hicho unachokidhania? Hii ni kesi ngumu ku-defend mahakamani. labda watumie style ya uon
Najua hilo jibwa linajijua
 
Kilicho nikwaza ni kuita ukoo wenu kijibwa, najua umefurahia ukoo wenu Kuitwa kijibwa Kwa Kua huko kwenu hawakosei
 
Back
Top Bottom