Halima Mdee hana jipya

Halima Mdee hana jipya

Halima siyo mropokaji na kujipendekeza kama Lema, yeye anapiga kazi kimya kimya bila unafki.
 
Halima Anaendelea Na Makamuzi Kwenye Operesheni Pamoja Daima.
mbatia Anamfahamu Vizuri 43,523 Kwa 11,958
 
Tujadili nini apa halima kutokua na jipya au uchaguzi 2015 naomba jibu mkuu
 
Kwanza jimbo la kawe kaliweka rehani,wananchi tumeshamuita mara nyingi kagoma kuja,jimbo la kawe litarudi ccm tumechagua chadema imekua majanga kwetu
 
Haaaa jamaa yetu halima tumbo limevimba bado kidogo aombe likizo unamjuwa aliefanya mambo kigoma baba z
 
Halima+Iringa.jpg
 
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.

yote tisa,safari hii Nape na Kinana wamenasa kwenye m.k.u.n.d.u. wa ndovu chini hawakanyagi maini hawagusi kimyaaaaaa! chezea chama mzigo weye!?
 
Back
Top Bottom