We! atanyongwa na Joshua Nassari.mbowe kashatupia mimba hapo,hujui kama mzee wa totoz
Yes atarudi bungeni 2015.Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?
Binafsi natilia shaka uwezo wa Halima Mdee kama anaweza kushindana kwa hoja na Mbatia japokuwa alimbwaga kwenye uchaguzi mkuu uliyopita, BILA USHABIKI Mdee alishinda uchaguzi uliyopita sababu ya chama chake kuvuma sana si kweli kwamba alikuwa ana hoja nzito kushinda Mbatia..........
Halima Mdee atarudi kweli bungeni mwaka 2015?
NAWASILISHA.
HUWA HAMFATILII NDIO MAANA KWENYE OPD DADA ANAPGA KAZI KAMA HUJUI MULIZE MSINGWA.
¤¤halima upo juu CHAPA KAZI TUPO PAMOJA LUMUMBA WASIKUKATISHE TAMAA¤¤
Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?

Punguza hasira au hujapata lunch bado? huyo jamaa alimwambia kwa kumficha mimi ndio nimeanua kinu juani sasa mbona unatokwa na mapovu,hakuna sehemu niliyosema kwamba anayetakiwa kutiwa mimba ni David Cameron,nikiwa na maana ya kwamba hilo nalifahamu fika,kwamba anayetakiwa kutiwa mimba ni mwanamke wa KIKE.Acheni matusi na hoja za kijinga hapa! Hata wewe mama yako ASINGE TIWA /MIMBA usinge log in hapa na kuleta pumba zako hapa. Kama katiwa mimba HUYO ndo mwanamke wa ukweli. Au mlitaka wawatie nyie? Kwani mwanamke asipotiwa tungepatikana hapa! Kama hauna la kuchangia acha mada ipite! Au yeye kupata huo ubunge na jinsi yake imebadilika?
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.
Vijana wa mizigo!
HUWA HAMFATILII NDIO MAANA KWENYE OPD DADA ANAPGA KAZI KAMA HUJUI MULIZE MSINGWA.
¤¤halima upo juu CHAPA KAZI TUPO PAMOJA LUMUMBA WASIKUKATISHE TAMAA¤¤
Nini sababu ya mbunge kutoka Kawe ''HALIMA MDEE'' Kuwa kimya kiasi hicho, maana yake ni kwamba hana jipya? au yeye hafanyi kazi na media ila anafanya kimya kimya?
Binafsi natilia shaka uwezo wa Halima Mdee kama anaweza kushindana kwa hoja na Mbatia japokuwa alimbwaga kwenye uchaguzi mkuu uliyopita, BILA USHABIKI Mdee alishinda uchaguzi uliyopita sababu ya chama chake kuvuma sana si kweli kwamba alikuwa ana hoja nzito kushinda Mbatia..........
Halima Mdee atarudi kweli bungeni mwaka 2015?
NAWASILISHA.
Jimbo lile atagombea hawara ya SLAA , JOSEPHINE , Halima bora ahamie NCCR au CHAUMA