Halima Mdee bado una nafasi ya kutubu, Heshima na tamaa havikai pamoja

Ndio wanasiasa hao, katafute pia kauli,a mbowe na lissu kabla na baada ya kumpokea lowassa
Mkuu pamoja na kuwa unasomeka hata hivyo bado kama:

1. Kauli za Prof. Kabudi kabla na hizi za baada ya kuteuliwa kuwa waziri zinatoka kwa mtu yule yule,
2. Kauli za Pole pole wa tume ya Warioba na za Pole pole huyu wa leo zinatoka kwa mtu yule yule,
3. Kauli za Dr. Bashiru Ally wa UDSM na kauli za huyu katibu mkuu wa chama mboga mboga leo ni kauli za mtu yule yule,
4. Nk, nk.

Hiyo wala si siasa tena bali hiyo ni njaa iliyopitiliza!

Ifahamike kuwa CDM unayoiona ambayo inapiganiwa na wengi ikiwamo hata kwa kujitolea tu, si salama kwa wanasiasa opportunists, labda huko mboga mboga!
 
Ku-quote out of context ni jambo la aibu sana kwa mstaarabu yeyote. Au mkuu ulitaka kuona list nzima ya points za strengths za CDM?

Tambua utimilifu wa kauli kuwa CDM ni imara:

"There are no indispensable people in CDM, keeping note of graves which are full of indispensable people."

Umenisoma mkuu?
Sawa kama ni hivyo strengths za CDM ziko Belgum na Germany sio mbaya lakini kwa Tz ni kujidanganya tu kutoka wabunge zaidi ya 70 hadi 1 bado tu na matumaini kuwa kuna siku kuku atatoa maziwa na vifaranga kunyonya
 
Ndio wanasiasa hao, katafute pia kauli,a mbowe na lissu kabla na baada ya kumpokea lowassa

Kabla na baada ya kumpokea Lowassa, Lissu na Mbowe wameendelea:

1. Kudai tume huru.
2. Kuwa wa wazi kutambua wizi wa chaguzi kila wakiibiwa.
3. Kutambua adui yetu namba moja ni chama mboga mboga.
4. Na yote ya namna hiyo.

Labda umejichanganya na kauli za CCM Lowassa alipokuwa CCM, alipokwenda CDM na aliporudi nyumbani.
 
Washazoea mteremko tayari. Mfano, huyo Miss. Kawe tangu amalize shule sidhani kama amewahi kuishi nje ya siasa. Nakumbuka walikuwa kwenye kampeni ya Ukimwi- ISHI baadae siasa. Wamezoea vitu laini, mtalaumu mpaka mtachoka.

Basi hawana bahati safari hii.
 
Sawa kama ni hivyo strengths za CDM ziko Belgum na Germany sio mbaya lakini kwa Tz ni kujidanganya tu kutoka wabunge zaidi ya 70 hadi 1 bado tu na matumaini kuwa kuna siku kuku atatoa maziwa na vifaranga kunyonya

Wanasema, "wavumao baharini papa, lakini na wengine wapo!"

Si Belgium na Germany tu jombi, "hata Ikungu lya Bashashi kina ngedere ngabu wana wakilisha!"

Kwani mwizi si alijipangia aibe hadi wapi? 70 hadi 1, 70 hadi 0, nk si alijipangia tu.

Kwani ni uchaguzi upi unaoongelea? Huu huu wa wizi wizi? Uchaguzi huu huu haramu ambao kama ulivyo na yote yatokanayo nao tusioutambua?

Unaleta reference zisizotambulika!

Hii si ndiyo kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea acheze ndombolo ya solo?
 
Ulikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti.

Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke sikumsikia Ndugai wala Mahera, ulipokamata kura feki ni wana Chadema hawa hawa walikuwa tayari kuumia na wewe, wale wanaokuona shujaa leo hasa wana CCM ndio waliokuwa wanakubeza na kukuzomea, ndio waliokucheka ulipovunjwa mkono na askari magereza.

Halima tambua nje ya umma utabaki Mdee wa kwenye mitandao ni sawa na samaki nje ya maji, alikuwepo Masumbuko Lwamwai akachagua tamaa, alikuwepo Mrema akachagua tamaa, na wewe umechagua njia hiyo.

Watawala wanaokutafuta leo ni kwa sababu uliteka mioyo ya wananchi wakishakunyang’anya hiyo nguvu ya umma kesho watagugeuza geuza kama chapati hutapata mtetezi.

Unashiriki kubomoa chama ulichokipigania kwa damu kwa miaka mingi kwa sababu ya ubunge wa miaka 5, hao watesi wako wa juzi ulioamua kuungana nao sio kwamba wanakupenda sana bali wanataka wakutumie baada ya hapo watakutupa kama mpira.

Uamuzi ni wako, karibu kwenye uwanja mpya wa mapambano, leo Ndugai ni rafiki kesho atakapoanza kukubeza bungeni usifedheheke, wananchi wakakapoanza kukuzomea mitaani ujue ndio njia iliyo hatua.

Unafanya makosa lakini bado una nafasi, kama ulikwazika fikiria upya omba radhi kwa wananchi nafikiri watakusamehe.
leo mnalia kama mbwaa daah maisha kama gwaride aisee
 
Hayo ni mambo yako hata hujaongea na wenye chama.
Halima kawavuruga loh!

Mlidhani atatuvuruga? Mmeruka mkojo, mmetua kwenye Mavi.

Kesho 0800 maafisa vipenyo wenu wakitaka, inshallah, watakuwa mbele ya Pilato.

Stay tuned!
 
Kuna neno la kiingereza "Blackmail".Nahisi kuna watu wamekuwa "blackmailed".Si kwa hofu walizokuwa nazo usoni na hata ukaaji kama vile wana p,totally restless.

Wanayo nafasi ya kujikomboa kesho 0800. Yote yako mikononi mwao. Wapange kusuka au kunyoa.
 
Ukomavu gani kwenda kushirikiana na wezi was kura wao sasa wanatofauti gani na wezi, tena wote mnaowaterea ndo wezi wenyewe wa kura mliosababisha kufika hapa tulipo.

Hata Halima lazima ajiulize mbana wale waliotumia nguvu kubwa asiende bungeni ndo wanaomtetea sana sasa hivi. Kwanza hivi mbunge akiwa wa viti maalum mi naona anaongeza idadi bungeni hakuna mtu anayemtete maana Tanzania imegawanywa katika majimbo ambayo yote yana wawakilishi wake. Hakuna chochote wanakwenda kufanya huko hao wanawake si wanaishi majimboni wanawakilishwa na wabunge wa majimbo. Hivyo viti ni vya kufuta kabisa badala yake kila jimbo liwe na wagombea wawili mwanamke na mwanamme basi tutakuwa tumemaloza tatizo la usawa wankijinsia.
Basi tuseme si ukomavu ila wanatetea ulaji, na hili ni kwa wanasiasa walio wengi hapa nyumbani. Bado kwangu naona uamuzi waliouchukua ni sahihi kwani hautabadilisha kitu kwetu na wao ndio hajira yao. Bado nitawalaumu wa chama changu kwa uporaji uliovuka mipaka, tulichokifanya mwaka huu sikukitegemea. Hilo la viti maalumu ni makubaliano na mabeberu nili kuweka uwakilishi sawa bungeni, ikawa ni lazima tupate njia ya kuweka walau huo usawa kwani huko majimboni si rahisi wao kupata hata asilia kumi ya viti.
 
Wakiitisha maandamano hamjitokezi, wakiwekwa selo mnaishia kupiga hashtag Twitter ohh #freesomebody# upinzani wanawapigania watz ila nyinyi mko bize na kusaka mkate wenu, waacheni nao wasake matonge yao!
Waliomchangia faini atoke jela walikuwa wana CCM.
 
wee mdanganye tuu, hukumu ya snitcher ni kupigwa risasi ya kichwaa tuu au kunyongwa hadharan na hili halina mjadala na walla si vinginevyo, na wanao mtetea vile vile rissasi za kichwa bila hurumaa…….ova!
Hahahahahahahahaahhaaaaaaaaaa
 
27 Nov 2020 ni kesho. Hakuna haja ya kupanic na kuanzisha threads nyingi kwa mkupuo. CHADEMA wanakwenda kulimaliza hili once and for all
 
Back
Top Bottom