- Thread starter
- #181
Kamati kuu ipi iliyowateua au kamati kuu ya CCM.Kwa nini mnataka waombe radhi?? Kwa kosa gani.Yaani kutekeleza kwa takwa la maamuzi ya kamati kuu imekuwa taabu
Kamati kuu ipi iliyowateua au kamati kuu ya CCM.Kwa nini mnataka waombe radhi?? Kwa kosa gani.Yaani kutekeleza kwa takwa la maamuzi ya kamati kuu imekuwa taabu
Na tuzo watalipata leo.Mkuu hawa wamama wanstahili tuzo
“Halima ni mbunge wa CHADEMA vyovyote vile iwavyo, awe ameenda kwa halali au kwa mlango usio halali”Tatizo ni tafsiri ya hilo neno heshima, sijui kwako linamaanisha nini! Halima ni mbunge wa CHADEMA vyovyote vile iwavyo, awe ameenda kwa halali au kwa mlango usio halali.
Halafu siasa sio dini kwamba MTU anaogopa namna bora au mbaya ya kufikia kilele cha malengo yake. Ndiyo maana hata Mbowe hutafuta kila namna kuhakikisha anabaki kwenye uenyekiti.
Mkuu huyo ni mbwa mwitu amejivika ngozi ya kondooUlikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti.
Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke sikumsikia Ndugai wala Mahera, ulipokamata kura feki ni wana Chadema hawa hawa walikuwa tayari kuumia na wewe, wale wanaokuona shujaa leo hasa wana CCM ndio waliokuwa wanakubeza na kukuzomea, ndio waliokucheka ulipovunjwa mkono na askari magereza.
Halima tambua nje ya umma utabaki Mdee wa kwenye mitandao ni sawa na samaki nje ya maji, alikuwepo Masumbuko Lwamwai akachagua tamaa, alikuwepo Mrema akachagua tamaa, na wewe umechagua njia hiyo.
Watawala wanaokutafuta leo ni kwa sababu uliteka mioyo ya wananchi wakishakunyang’anya hiyo nguvu ya umma kesho watagugeuza geuza kama chapati hutapata mtetezi.
Unashiriki kubomoa chama ulichokipigania kwa damu kwa miaka mingi kwa sababu ya ubunge wa miaka 5, hao watesi wako wa juzi ulioamua kuungana nao sio kwamba wanakupenda sana bali wanataka wakutumie baada ya hapo watakutupa kama mpira.
Uamuzi ni wako, karibu kwenye uwanja mpya wa mapambano, leo Ndugai ni rafiki kesho atakapoanza kukubeza bungeni usifedheheke, wananchi wakakapoanza kukuzomea mitaani ujue ndio njia iliyo hatua.
Unafanya makosa lakini bado una nafasi, kama ulikwazika fikiria upya omba radhi kwa wananchi nafikiri watakusamehe.
Wote hawaendiNani hatokwenda?
That’s fine itawarahisishia kazi kamati kuu, walipewa nafasi ya kujitetea hawakuja, hata mahakamani usipohudhuria unakosa haki yako.Wote hawaendi
Naona mnakanyagana tu sasa hiviUlikuwa umejijengea heshima ndani na nje ya nchi, ndani na nje ya bunge, tambua nguvu na heshima yako ilijengwa na sapoti ya wananchi waliokuzunguka hasa wanachama na viongozi wenzako wa Chadema ambao leo unataka kuwasaliti.
Kumbuka ulipokuwa jela ni wanachadema hawa hawa walikuchangia utoke sikumsikia Ndugai wala Mahera, ulipokamata kura feki ni wana Chadema hawa hawa walikuwa tayari kuumia na wewe, wale wanaokuona shujaa leo hasa wana CCM ndio waliokuwa wanakubeza na kukuzomea, ndio waliokucheka ulipovunjwa mkono na askari magereza.
Halima tambua nje ya umma utabaki Mdee wa kwenye mitandao ni sawa na samaki nje ya maji, alikuwepo Masumbuko Lwamwai akachagua tamaa, alikuwepo Mrema akachagua tamaa, na wewe umechagua njia hiyo.
Watawala wanaokutafuta leo ni kwa sababu uliteka mioyo ya wananchi wakishakunyang’anya hiyo nguvu ya umma kesho watagugeuza geuza kama chapati hutapata mtetezi.
Unashiriki kubomoa chama ulichokipigania kwa damu kwa miaka mingi kwa sababu ya ubunge wa miaka 5, hao watesi wako wa juzi ulioamua kuungana nao sio kwamba wanakupenda sana bali wanataka wakutumie baada ya hapo watakutupa kama mpira.
Uamuzi ni wako, karibu kwenye uwanja mpya wa mapambano, leo Ndugai ni rafiki kesho atakapoanza kukubeza bungeni usifedheheke, wananchi wakakapoanza kukuzomea mitaani ujue ndio njia iliyo hatua.
Unafanya makosa lakini bado una nafasi, kama ulikwazika fikiria upya omba radhi kwa wananchi nafikiri watakusamehe.
Wako tayari na kesho Mdee ataongea na waandishi I'm sure mtashangaaThat’s fine itawarahisishia kazi kamati kuu, walipewa nafasi ya kujitetea hawakuja, hata mahakamani usipohudhuria unakosa haki yako.
Hakuna anayemzuia kuongea, akifukuzwa ataongea kama yeye lkn si kama mwanachama wa Chadema.Wako tayari na kesho Mdee ataongea na waandishi I'm sure mtashangaa
Yaani CDM ife kwa sababu ya Mdee na wenzake? Haupo serious.Mwaka jana kulivuja sauti ya wabunge wa Chadema Said Kubenea na Anthony Komu wakipanga njama za kumuuwa Boniface Jacob ili hatimae wafanikishe adhima yao ya kumng'oa Freeman Mbowe kwenye uenyekiti wa chama.
Baada ya sauti hizo kuvuja mara moja chama kilitangaza kikao cha dharura cha kamati kuu kuwahoji ili waweze kuchukuliwa hatua kali sana ikiwa pamoja na kufukuzwa Chadema. Matokeo yake baada ya kikao cha kamati kuu hao wabunge wauaji walisamehewa na kutakiwa kuomba radhi tu!
Kama hali ni hiyo, wabunge wa viti maalum Chadema si wauaji na wala hawajatishia kumuuwa mtu yoyote ila wanajaribu tu kutumia haki yao ya kikatiba iweje wafukuzwe Chadema? Kweli kuwa mwanamke Chadema ni dhambi kubwa kuliko wapanga mauaji waliosamehewa??
Tusubiri na kuona kesho kikao cha kamati kuu chadema kitaamua nini, bila shaka Mbowe is going to be tested again na maamuzi tofauti na kufukuza yatamwimalisha ,na maamuzi ya kufukuza hao wanawake itakuwa ni kiss of death kwa Mbowe na Chadema kwa ujumla.
Huna unalojua so kaa kimya tuHakuna anayemzuia kuongea, akifukuzwa ataongea kama yeye lkn si kama mwanachama wa Chadema.
Kwani kuongea na waandishi inamsaidia nini asifukuzwe?Wako tayari na kesho Mdee ataongea na waandishi I'm sure mtashangaa
Endelea kuotaHuna unalojua so kaa kimya tu
Mpaka Sasa kamati kuu imeshajigawa, wengine hawataki huo ujinga
Na kikao kipo bahari Beach na sio mtaa wa ufipa
Au nikutumie na picha?
Picha hiyo hapo.Huna unalojua so kaa kimya tu
Mpaka Sasa kamati kuu imeshajigawa, wengine hawataki huo ujinga
Na kikao kipo bahari Beach na sio mtaa wa ufipa
Au nikutumie na picha?
Ww ndio unaota, wakina Mdee Leo hiyo saa mbili hakuna mtu anaendaEndelea kuota
Wakitokea wakina Mdee hapo nakupa laki moja
They will be awarded in absentia.Wakitokea wakina Mdee hapo nakupa laki moja
Hapo ufipa hakuna kitu kitatokeaThey will be awarded in absentia.
Wa kisiasa na kimwiliNo offense, kina Matiko and co hawakukosewa kuitwa mala. ya!
Rest in Hell (ccm) in advance!