Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

Hata ukinitukana haibadilisi ushindi. Yaani mtu ashindwe kwa zaidi ya kura laki na nusu halafu ulete uwongo hapa wa watu kuletwa kutoka wiliya nyingine, yaani walikuwa kwenye dafatari gani. Kila mpiga kura namba yake inaandikwa kwenye ballot paper, kwa hiyo kama Mdee analalamika basi aombe recount kuhakiki namba za kwenye ballot paper na za kwenye daftari
Hata sijakutukana.

Ila binafsi nakuona kama ni mtu ambaye unapendezwa sana na matusi, ungekua unachukizwa nayo basi leo hii usingekua unampa kongole gwajima ambaye sio tu kwamba katoa lugha ya matusi kwa pengo bali alifanya matusi na ushahidi wa video upo.

Kila mpiga kura namba yake inaandikwa kwenye kitabu pamoja na picha yake, ila mkaguzi wa kuhakikisha kua yule mtu aliyekuja kupiga kura sura yake inafanana na huyu ambaye yupo kwenye hii log book jukumu hilo kapewa msimamizi wa uchaguzi wa nec. Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kwenda kuhakikisha kama huyo mtu ni sahihi kwasababu jana yake hao wasimamazi walipewa maelekezo ofisi za kata kua mtu akija na kitambulisho ambacho jina lake halipo we mruhusu tu na wao walipewa mtonyo wao.

Pili zile mashine za kutengenezea vitambulisho vya kura ziliachwa ofisi za kata kwa kazi maalumu ya jana zilitumika kutengenezea vitambulisho vingine ambavyo watu hao walipiga kura zaidi ya vituo kumi.
 
Kwa maoni yangu, kwa vile Gwajima naye ni tapeli tu, nadhani watu wa Kawe hawakumpigia kura Gwajima bali walimpinga Mdee; kura zao zilikuwa "against Mdee" siyo "for Gwajima." Mbunge asiye staha yeye muda wote ni makelele na kutafuta fujo tu.
Na mimi nina mtazamo huo ndio kilichotokea Kawe. Halima Mdee alikuwa anatumia muda mwingi sana kumnanga Magufuli badala ya kuelekeza mashambulizi kwa Gwajima.

Ukishafanya ivyo watu wanakuona adui wa maendeleo kwa ujumla na unapambana na Magufuli badala ya Gwajima.

Personal I am not amused na ushindi wa Gwajima.
 
Ilipangwa tuulizwe sie tulio kuwepo kwenye semina za CCM Dar tukwambie mipango mikakati..npo back stage natabasam tuh. Watanzania asilimia nyingi tupo shallow.
 
Hakuna aliyeshangaa, sasa anaanguka mtu kama Zitto, Mbowe, Sugu, Heche, Nyalandu, ulitegemea nani angebaki salama?

Sasa tusubiri Tanzania ya ahadi.
 
Kwahiyo G anatumikia mabwana wawili sasa.. na wakati biblia anayofundushia imeagiza huwezi tumikia mabwana wawili. Ngoja tuone ni bwana yupi atamtumikia na kumpenda zaidi.
Amewekea kulingana maslahi ya familia kwani Ina viwanja vya kutosha Unonio.
 
Hakuna aliyeshangaa, sasa anaanguka mtu kama Zitto, Mbowe, Sugu, Heche, Nyalandu, ulitegemea nani angebaki salama?
Sasa tusubiri Tanzania ya ahadi.
Mimi nimehuzunika,MDEE NA SUGU TU SANA SANA MDEEE 😭😭😭😪😪😔
 
Dah! ''Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.'' Hiki kimbunga cha JPM sio bure wakuu nyosheni mikono tu, yupo JPM kuona Tanzania inakuwa nchi mojawapo Afrika yenye kujali maendeleo ya wananchi wake.

WB na nchi za magharibi wanachungulia tu maana hawafahamu nini kinawapiga, enyi Watanzania mbona hampati hii Covid-19? Walisikika wakijiuliza?
 
1604010533095.png


Happy birthday Mr. President.
 
Wananchi Kawe tulimchoka Mdee. Yeye alifikiri kuwa mwakilishi wetu ni kwenda bungeni na kubwabwaja tu ili aandikwe mitandaoni na kufungwa kila kukicha. Alitusahau mno , ngoja tumuone Gwajima atatufanyia nini, akitongoza wake zetu kama afanyavyo kwa waumini wake mazezeta basi ataisoma namba kama Mdee.
 
Wapi Gentamycine, sijui kama bado inatibu, wapi crpto, wapi lord nani sijui, daaaaah zege limelala limekamamaa kujengea haiwezekani. Chezea wewwwweweeee
Sio issue wala nini ipo siku. Mlibania mno upinzani miaka yote 5, Mungu ni wa wote hulipa hapa hapa duniani kabla ya kifo
 
Back
Top Bottom