Nimefeli maisha njoo muhimbili nikuchome sindano matakoni ndo utajua nimefeli au nimefauli..mliofeli maisha ninyi mnaowakatikia akina chenge viuno pale bungeni..
Mtu mwenye biashara mjasiria mali hawezi kuonesha ukunguru uliouonesha hapa, ww utakuwa mlamba viatu wa kina kinana mtu wa pwani..!Polisi nikatafute nini mangi, niache kuangalia biashara sangu nikashinde huko polisi!
- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!
Le Mutuz
Ngoja siku uje angazangu nikupige PR kucheki prostate ndo utajua nesi au ni nanani..maana nyie walamba viatu labda PR ndo hamuogopi..Ha ha ha ha! Kumbe nesi wa redcross! Nilihisi tu.
Kwani wewe unajiona je..?! Huoni huo ukunguru wako..halima anapigania tunu za taifa, upunguzaji wa madaraka ya rais ili kuleta ufanisi, anapigania wabunge wachaguliwa waliosoma, anapigania baraza dogo la mawaziri lenye tija na ufanisi, anapigania ukomo wa mawaziri, anapigania haki za vijana na akina mama..nk ndicho anachopigania..wewe jifiche chini ya uvungu, na akili yako wape akina sita ubaki na timbo na makalio kufikiria..lakini najua kizazi chako kitakuja kufurahia matunda lkn watajua tulikua na babu muoga anapiganiwa haki zake na wanawake..babu ambaye akisikia polisi na jela anataka kujinyea
- Maswali ya mvi muulize Dr. Slaa kama ni busara mbona hana mke wewe mkiltea za kuleta mptapigwa tu
Le Mutuz
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
- Mwili mdogo ukivunja sheria rumande na kama vipi unapigwa tu!1
Le Mutuz
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Mtu mwenye biashara mjasiria mali hawezi kuonesha ukunguru uliouonesha hapa, ww utakuwa mlamba viatu wa kina kinana mtu wa pwani..!
ngoja anyee debe ataelewa utii wa sheria ni nn
Issue ya Mandela ndo unalinganisha na issue ya Halima?Wazungu walimuandama Mandela, wakamuita majina yote yasiyofaa na kumpa title za hovyo ikiwemo 'gaidi', wazungu hao hao na wamemuinua na kumtukuza Nelson mandela.
View attachment 191225
Kajenga kwanza nyumba ya mamako ndo uje kuchangia hapa..hivi kwa nini husikii wewe?
unajifanya hujui Halima Mdee ni chama gani mtajibeba mwaka huuMi nilidhani yuko Chadema, kumbe ni mwanaharakati!
Mule mule..hutaki kutumia akili yako hata kidogo..mdee kaanza kupachimba juzi eehee.? Akili umewapa akina sita ww umebakiwa na makalio kufikiri..Mdee analipa tu fadhila kwa Mbowe kumpa uenyekiti kwa kura zilizoshajazwa kwenye masanduku pale mlimani city, na analipa fadhila kwa wafadhili wa ushoga, (wajerumani)
Wewe nimekwambia uje muhimbili nikupuge PRE ndo utanijua mm ni nani..?!Haya mimi sawa, mbona na wewe unafua pichu za Mbowe hatusemi!
Issue ya Mandela ndo unalinganisha na issue ya Halima?