Makamba na Meya wa Kinondoni hawapo hapaMakamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.
unaulizwa wewe, Mdee amefanya nini miaka mitano?
Makamba na Meya wa Kinondoni hawapo hapaMakamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.
huyo mama hata mie namkubali!
Umeshindwa kunitajia hata kimoja, hata kitu kimoja, ambacho amefanya miaka mitano, mtu unaemshabikia.
Sasa mwenye "ushabiki wa kijinga" nani, mimi wewe?
mkuu pole sana.ila wabunge wote wa CDM waliofika NMC(kuaga miili ya mashujaa wetu) walisimama na kuanza kutambulishwa mmoja mmoja.wabunge walioshangiliwa sana kwa upande wa wanawake alikua ni mh Halima mdee.nadhani nimejitahidi kufikisha ujumbe.
Mdee amefanya nini miaka mitano?
amefanya nini miaka mitano?
Tusubiri miaka mitano ya ubunge wa jimbo then tumpime kama uwezo wa kujenga hoja unaendana na ubunifu wa kutatua kero za wapiga kura
amefanya nini miaka mitano?
Umeshindwa kunitajia hata kimoja, hata kitu kimoja, ambacho amefanya miaka mitano, mtu unaemshabikia.
Sasa mwenye "ushabiki wa kijinga" nani, mimi wewe?
Thread nyingine bwana....................basi tu!
Makamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.
Aliwaumbua Makamba na Londa ktk kashfa ya viwanja vya wazi.
Kisha wahusika wakajishaua kupinga na kumtaka aombe radhi, lakini kwa kujiamini alikataa upuuzi huo wa kuomba radhi, na hata uchunguzi ulivyofanywa ulileta jibu ambalo wale waliohusishwa walitamani kuingia chini ya meza kwa aibu.
Pia amepambana kikamilifu na kunyakuwa jimbo la Kawe ambalo lilikuwa linashikiliwa na CCM.
Kwa sasa ni Mbunge wa kuteuliwa na si wa nafasi maalum.
Kwa hayo kama hujaelewa basi nenda kachukue kopo ukachambe.