Halima Mdee apata mapokezi motomoto Arusha

Halima Mdee apata mapokezi motomoto Arusha

Makamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.
Makamba na Meya wa Kinondoni hawapo hapa

unaulizwa wewe, Mdee amefanya nini miaka mitano?
 
Umeshindwa kunitajia hata kimoja, hata kitu kimoja, ambacho amefanya miaka mitano, mtu unaemshabikia.

Sasa mwenye "ushabiki wa kijinga" nani, mimi wewe?

wameisimamia serikali ktk kuwajibika na kuondoa pazia lililokuwepo kati ya serikali na wananchi kwa kufanya kazi kwa usiri,na wemekemea ufisadi kitu ambacho ni kansa ktk uongozi wowote wa nchi,yapo mengi tu kwa sasa ngoja niishie hapa,nami kwa hao wa miaka 50 naomba kuelewa walichofanya mkuu.(samahani kwa lugha kali niliyotumia kwa ujumbe uliotangulia)
 
mkuu pole sana.ila wabunge wote wa CDM waliofika NMC(kuaga miili ya mashujaa wetu) walisimama na kuanza kutambulishwa mmoja mmoja.wabunge walioshangiliwa sana kwa upande wa wanawake alikua ni mh Halima mdee.nadhani nimejitahidi kufikisha ujumbe.

nasikitika kutokuwepo huko,nimekusoma mkuu,asante.
 
Mdee amefanya nini miaka mitano?

Akiwa Mbunge wa jimbo gani?alikuwa anawajibika kwa wanachi wa jimbo gani.Kichama amefanya kazi nyingi sana mojawapo ikiwa kuwaamasisha wananchi kukikubali chama chake!kinchi kwa ujumla, ameisaidia nchi yake kupambana na ufisadi!!
 
Huyu Dada ana historia kubwa kumbuka yeye ndio mbunge eneo ambalo wanakaa viongozi wote wa nchi hii, Na ni mbunge wa kwanza mwanamke kutoka upinzani kuchaguliwa na wananchi. Hii tu inatosha kwa huyu binti, fikiria kumwangusha mwenyekiti wa NCCR, na kuwa kiongozi wa JK, Nyerere, Mwinyi, Warioba, na karibu mawaziri wote wako jimbo la kawe huwezi kumlinganisha na mbunge mwingine mwanamke.

Hongera sana Halima tusonge mbele, Tekeleza wajibu wako kwa wananchi wako wa kawe na TZ kwa ujumla.
 
Tusubiri miaka mitano ya ubunge wa jimbo then tumpime kama uwezo wa kujenga hoja unaendana na ubunifu wa kutatua kero za wapiga kura
 
Mimi ningelipenda kujua kwanini watu walikua wakimwita shemeji alipokua akitambulishwa. ni kitu ya Lemma au masela wanataka Lemma Amalize.
 
Thread nyingine bwana....................basi tu!
 
Tusubiri miaka mitano ya ubunge wa jimbo then tumpime kama uwezo wa kujenga hoja unaendana na ubunifu wa kutatua kero za wapiga kura

subiri wewe sie tayari tunaona anayo ya kupongezwa
 
Umeshindwa kunitajia hata kimoja, hata kitu kimoja, ambacho amefanya miaka mitano, mtu unaemshabikia.

Sasa mwenye "ushabiki wa kijinga" nani, mimi wewe?

Aliwaumbua Makamba na Londa ktk kashfa ya viwanja vya wazi.
Kisha wahusika wakajishaua kupinga na kumtaka aombe radhi, lakini kwa kujiamini alikataa upuuzi huo wa kuomba radhi, na hata uchunguzi ulivyofanywa ulileta jibu ambalo wale waliohusishwa walitamani kuingia chini ya meza kwa aibu.

Pia amepambana kikamilifu na kunyakuwa jimbo la Kawe ambalo lilikuwa linashikiliwa na CCM.
Kwa sasa ni Mbunge wa kuteuliwa na si wa nafasi maalum.

Kwa hayo kama hujaelewa basi nenda kachukue kopo ukachambe.
 
Thread nyingine bwana....................basi tu!

Tafadhwali Michelle, si wewe juzi tu ulikuwa unalalamikia mambo ya gender humu jamvini? sasa leo mwenzio akisifiwa inakuwa nongwa tena...:frog:
 
Makamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.

Hongera hayo ndiyo maneno nina hakika jamaa kapata jibu. Nenda kwenye hansard za bunge Ndg, mambo yao utayakuta.Unauliza jibu????????????
 
Aliwaumbua Makamba na Londa ktk kashfa ya viwanja vya wazi.
Kisha wahusika wakajishaua kupinga na kumtaka aombe radhi, lakini kwa kujiamini alikataa upuuzi huo wa kuomba radhi, na hata uchunguzi ulivyofanywa ulileta jibu ambalo wale waliohusishwa walitamani kuingia chini ya meza kwa aibu.

Pia amepambana kikamilifu na kunyakuwa jimbo la Kawe ambalo lilikuwa linashikiliwa na CCM.
Kwa sasa ni Mbunge wa kuteuliwa na si wa nafasi maalum.

Kwa hayo kama hujaelewa basi nenda kachukue kopo ukachambe.

Mkuu nadhani hapo ulitaka sema mbunge wa kuchaguliwa, tupo pamoja mkuu, yule binti ni kichwa!
 
Back
Top Bottom