Halima Mdee apata mapokezi motomoto Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee apata mapokezi motomoto Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 13, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii ilitokea katika viwanja vya NMC hapo jana wakati mc akiwatambulisha wabunge wa CDM(wanawake) waliofika kuaga miili ya marehemu.
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,530
  Trophy Points: 280
  Amandla.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Go goo halimaa:smile-big:
   
 4. k

  kiche JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jaribu kuandika kitu kinachoeleweka,si kila mtu alikuwa hapo arusha,maelezo yako hayajajitosheleza naomba ufafanuzi kwa hayo mapokezi motomoto.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na ilijionyesha baada ya kutaka kuacha kuwatambulisha akitaka kuokoa muda lakni watu walimwambia tuna mtaka halima ndipo akamwita pamoja na wabunge wengine
  Wa kike na kila alipo taja jina mdee watu walilipuka kwa nderemo na vifijo..na wabunge walioneka wana arusha kutaka kuwaona ni myika, lisu
   
 6. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo mama hata mie namkubali!
   
 7. k

  kiche JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante kwa ufafanuzi,nimekuelewa kwani hata mimi kwa sasa naweza kusambaza ujumbe huu,huyo dada namkubali ni mbunge wangu hapa kawe kura yangu nilimpa.
   
 8. T

  The Future. Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i like her, she z smart.
   
 9. T

  Taso JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  amefanya nini miaka mitano?
   
 10. k

  kiche JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwani wabunge wa tanu/ccm wao wamefanya nini kwa miaka 50!!!!!!!!!!?
   
 11. T

  Taso JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  aliyesifiwa hapa ni mbunge wa TANU?
   
 12. k

  kiche JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ni swali la kizushi,kwa mtu mfuatiliaji hawezi kutamka kuwa amefanya nini kwa miaka mitano!,nadhani miaka 5 kama umeshindwa kuona kilichofanywa na wabunge wa cdm kwa ushirikiano wao wakiwa 11 tu akiwemo mdee!,nadhani unaweza kuona hao wa miaka 50 walichofanya!,tofauti na hapo sipo kwenye ushabiki wa kijinga.
   
 13. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Halima ni shujaa! Hongera sana kwa kazi nzuri - Tunakutegemea, umeaonesha mfano kwa wanawake kuwa badala ya kung'ang'ania upendeleo baada ya miaka mitano ni busara ukalipa fadhila kwa wenzako kwa kurudisha kiti chao ili wapeleke tena mwingine na wewe kuanza kuruka kwa mbawa vema zako -BIG UP!
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  i love her
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu pole sana.ila wabunge wote wa CDM waliofika NMC(kuaga miili ya mashujaa wetu) walisimama na kuanza kutambulishwa mmoja mmoja.wabunge walioshangiliwa sana kwa upande wa wanawake alikua ni mh Halima mdee.nadhani nimejitahidi kufikisha ujumbe.
   
 16. T

  Taso JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Umeshindwa kunitajia hata kimoja, hata kitu kimoja, ambacho amefanya miaka mitano, mtu unaemshabikia.

  Sasa mwenye "ushabiki wa kijinga" nani, mimi wewe?
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata jana alionekana hivyo.smart kimavazi na kiakili.
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni 'Nyota Njema ya Mashariki' yule katika siasa za nchi hii. Hakupenda kujilemaza kwenye ubunge wa kuteuliwa huyu. Dr Slaa kweli vijana mnawalea vizuri, wenye nidhamu ya kifikra, unyenyekevu lakini KATIKA SWALA LA HAKI huwaambii kitu bungeni wakakusikia.

  Tunakusudia kuwaleta Halima Mdee,
  Tundu Lissu (Moreno O'Campo)
  , Kitila Mkumbo (Think Tank), Winfred Lwakatare, Zitto Kabwe (Operation Sangara), Mbowe (Kamanda wa Jeshi la Anga), Lema (Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu Machalii Wote Tanzania, Mr II (Mzee wa UFISADI haukubaliki) Owenya na John Mnyika wengine wengi zaidi ili wakalelewe vizuri na wazee waliotulia vichwani na wasiotumwa na mitumbo yao kutuibia bali na akili na roho ya huruma kutupigania.

  Wazee wenyewe ni pamoja na Amiri Jeshi Mkuu Dr Slaa, Baba wa Fedha za Tanzania Mzee Mtei, Tajiri Mtumishi wa raia wa kawaida Mzee Ndesamburo na Baba lao Prof Mwesiga Baregu mzee wa Teamwork kwa kwenda mbele.

  Amini usiamini mpaka sasa hivi wazee kupanga festi ileveni ni malaria kichwa kuuma ukizingatia idadi kubwa ya 'Professional Players' lukuki tulionao kwenye jezi za CCM-Uadilifu (CCM Nyerere) ambao wakati wowote 'Nguvu ya Umma' itawafanyia uhamisho wa kimataifa wakachezee timu chini jopo la MAKOCHA wasioshushi viwango wala kuwasugulisha benchi wachezaji mithili ya Masumbuko Lamwai na Tambwe Hiza kule kwa watani zetu.

  Kuna wachezaji wengine VICHWA ambao waliwahi kufitinishwa huko kwingineko kama vile Mama Getrude Mongela, Dr Shija, Hassy Kitine, na wengine kibao tu kule Visiwani lazima tukawatafute kwani sisi wapiga kura tunawafahamu sasa kila mchezaji, madhaifu na kiwango chake halisi.
   
 19. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Makamba na yule aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Londa wanamfahamu vizuri alifanya nini.
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!vipi tena jamani?????????????
   
Loading...