Halima Mdee aomba radhi Bungeni kwa kutoa matusi

Halima Mdee aomba radhi Bungeni kwa kutoa matusi

Huo ndio uungwana.

KAULIZE SERUKAMBA ALIWAHI KUOMBA MSAMAHA WAPI KWAKUTUKANA WAZIWAZI?
 
Safi sana Halima kuna watu walisema hajatumia lugha mbaya ila yy kalitambua hilo
 
Haya sasa wale nyumbu wake waliokuwa wanasema hilo siyo tusi waje tena kutokwa mapovu!
 
Hiyo ndio busara ya uongozi, unapoteleza omba radhi.....

Hongera Halima Mdee.
 
Ubunge wako umeishia hapo, vipindi viwili madale hujafanya lolote, kura yangu bye bye.
 
Ubunge wako umeishia hapo, vipindi viwili madale hujafanya lolote, kura yangu bye bye.
Kwani mbunge anahusikaje na maendeleo ya madale?. Ni vema ukasoma au kuuliza majukumu ya wabunge ndio utoe hoja yako. Nilitegemea great thinkers wana uelewa wa mambo haya na pia kama hawaelewi basi wanakuwa wepesi kuuliza.
Sio kazi ya mbunge kushuhhulikia maendeleo katika jimbo. Hiyo ni kazi ya Diwani, baraza LA madiwani ndio eneo lao LA kushuhhulikia masuala ya maendeleo jimboni chini ya meya. Bunge halijadili maendeleo ya jimbo moja moja. Linajadili masuala makubwa na maana ya nchi ikiwemo bajeti na kutunga sheria, nk. Kama mbunge wako anakuwa bubu bungeni ujue mmechagua kimeo maana hana uwezo wa kujadili masuala ya kitaifa.
Tambueni uwezo wa baraza LA madiwani naaafisa watendaji. Hao ndio wababe na wenye nguvu katika maeneo tunayoishi na sio mbunge.
 
Huu ni ukomavu, busara na uungwana, dada Halima umetoa funzo zuri kwa wengine, kutukana si sifa nzuri ni vyema muwafunze na vijana wa Bavicha.
 
Cha muhimu ni kuacha Bangi.. asipoacha atarudia tena na tena na tena
 
..kule kutukana halafu kuja kuomba radhi kumewafanya wananchi wamkubali zaidi.
 
Halima kaomba msamaha kaonyesha ukomavu na kujielewa wanaoendeleza kama hao wabunge walioropoka "ameacha pombe", wangetakiwa kuchukuliwa hatua maana wanapenda fujo
 
Mbunge Halima Mdee kaomba radhi kwa kauli aliyomtolea Spika Ndugai bungeni kwenye uchaguzi wa EALA.

Huo ni mtego mkubwa sana kwa Ndugai kwani kama tabia alizoonyesha kwenye uchaguzi hataziacha matusi yale atatukanwa tena na wabunge wengine.

Ni wakati sasa naye kujiangalia jee anatenda haki au anafanya mambo yanayo stahili kuitwa tena "fala'?

Spika na naibu wake hata na wenyeviti wa Bunge wanapaswa kutenda kwa kufuata kanuni na kuondoa upendeleo ili kujiepusha na lugha za kuwadhalilisha.
 
Mbunge Halima Mdee kaomba radhi kwa kauli aliyomtolea Spika Ndugai bungeni kwenye uchaguzi wa EALA.
Huo ni mtego mkubwa sana kwa Ndugai kwani kama tabia alizoonyesha kwenye uchaguzi hataziacha matusi yale atatukanwa tena na wabunge wengine. Ni wakati sasa naye kujiangalia jee anatenda haki au anafanya mambo yanayo stahili kuitwa tena "fala'?
Spika na naibu wake hata na wenyeviti wa Bunge wanapaswa kutenda kwa kufuata kanuni na kuondoa upendeleo ili kujiepusha na lugha za kuwadhalilisha.

Ndugai, kilichomuua Kambale kilitoka kwenye kinywa na matendo yake! Nawe Ndugai acha kuongoza Bunge kwa mapenzi ya UCCM! Be fair, . Kwa tunaokumbuka na kuweka record vizuri, ulitaka kumuua mtu kwa kutafuta ubunge. Una umimi sana mpaka kutaka kuua! Rekebisha tabia hiyo! Acha upendeleo kwa CCM, na Mungu atakubariki
 
Binadamu ni wa ajabu kweli, alipo rudi toka India alikuja na maneno ya kutia moyo sana kuwa amebadili tabia. Kumbe pale alikuwa bado anakumbukumbu ya hospitali,sasa kasahau na kiburi juu. Mdee alistahili kumwita vile
 
Halima Mdee kaanza kujifunza Tabia za Kibunge!

Hongera Mbunge wangu kwa kukubali Makosa na kuomba radhi !
 
Binadamu ni wa ajabu kweli, alipo rudi toka India alikuja na maneno ya kutia moyo sana kuwa amebadili tabia. Kumbe pale alikuwa bado anakumbukumbu ya hospitali,sasa kasahau na kiburi juu. Mdee alistahili kumwita vile
Yes anakera
 
Back
Top Bottom