Sasa nasema nini na wapi kazungumza?Mh Halima mdee ameomba radhi kwa spika wa bunge la JMT leo kutokana na kitendo chake cha kumtusi,aidha amewaomba radhi wabunge wenzake Hamis kigwangala na bunge zima.
Nahisi neno la GWAJIMA lilimgusa.
Huu ni ukomavu wa kisiasa
HM
Mh Halima mdee ameomba radhi kwa spika wa bunge la JMT leo kutokana na kitendo chake cha kumtusi,aidha amewaomba radhi wabunge wenzake Hamis kigwangala na bunge zima.
Nahisi neno la GWAJIMA lilimgusa.
Huu ni ukomavu wa kisiasa
HM
Usiamini ila ukiipata clip au audio uamini.
Hata Mitume hawakuaminika kwa waliowaona.
Hiki ulichokisema kingeambatana na audio au video clip yake ingependeza mno Mkuu ila kwa hivi hivi ni ngumu kuaminika.
Ni kweli Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee ameomba radhi watanzania pamoja SpikaUsituletee upuuzi wako halafu kubali kukosolewa au kurekebishwa humu sawa? Wenzako wote humu kwa jambo very sensitive in public kama hilo hulisindikiza na ama audio au video clip ili kuleta uhalisia, ukweli na kuondoa wasiwasi nalo na wapo wenzako wengi tu humu wameshakuja na ushahidi wa aina hiyo. Halafu kutumia reference ya Mitume ambayo ilitawaliwa na Miujiza ya Kimungu nyakati hizo ni tofauti na nyakati ya sasa ambayo imetawaliwa zaidi na data pamoja mwenzie evidence. Hata hivyo kwa kupovuka au kuhamaki Kwako huku napatwa na hisia kuwa hiki ulichokileta hapa ni uwongo mtupu na unaendeleza tu uzushi.
Sasa nasema nini na wapi kazungumza?
Wewe nawe
Ni kweli Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee ameomba radhi watanzania pamoja Spika
Umempa somo zur sana ,sio kukimbilia kufungua uzi harafu unahesabu comment ngap zmekujibuUsituletee upuuzi wako halafu kubali kukosolewa au kurekebishwa humu sawa? Wenzako wote humu kwa jambo very sensitive in public kama hilo hulisindikiza na ama audio au video clip ili kuleta uhalisia, ukweli na kuondoa wasiwasi nalo na wapo wenzako wengi tu humu wameshakuja na ushahidi wa aina hiyo. Halafu kutumia reference ya Mitume ambayo ilitawaliwa na Miujiza ya Kimungu nyakati hizo ni tofauti na nyakati ya sasa ambayo imetawaliwa zaidi na data pamoja na mwenzie evidence. Hata hivyo kwa kupovuka au kuhamaki Kwako huku napatwa na hisia kuwa hiki ulichokileta hapa ni uwongo mtupu na unaendeleza tu uzushi.
Umempa somo zur sana ,sio kukimbilia kufungua uzi harafu unahesabu comment ngap zmekujibu
Hahahaha mkuu imebidi tu umuonyeshe njia sahihi.Usituletee upuuzi wako halafu kubali kukosolewa au kurekebishwa humu sawa? Wenzako wote humu kwa jambo very sensitive in public kama hilo hulisindikiza na ama audio au video clip ili kuleta uhalisia, ukweli na kuondoa wasiwasi nalo na wapo wenzako wengi tu humu wameshakuja na ushahidi wa aina hiyo. Halafu kutumia reference ya Mitume ambayo ilitawaliwa na Miujiza ya Kimungu nyakati hizo ni tofauti na nyakati ya sasa ambayo imetawaliwa zaidi na data pamoja na mwenzie evidence. Hata hivyo kwa kupovuka au kuhamaki Kwako huku napatwa na hisia kuwa hiki ulichokileta hapa ni uwongo mtupu na unaendeleza tu uzushi.
Ni Halima na siyo halima, hivi vitu ni very basic shuleni.Sifa ya muungwana ukikosea unaomba radhi.....ndivyo mafundisho ya dini zetu yanavotuelekeza.. Hongera halima Mungu amekusamehe
Hahaha Safi sanaUsiamini ila ukiipata clip au audio uamini.
Hata Mitume hawakuaminika kwa waliowaona.