Wame muinterap makusudi ashindwe kutoa hoja zakeHalima akili kubwa
Spika amejikuta anafanya kazi ya Jensiter Muhagama na Majaliwa kutetea Mkataba badala ya kusimamia Mjadala
kumbe TPA wanaachiwa kazi ya kusimamia boti za Bakhresa tu na Wavuvi wa uduvi kule vijibweni
nimemsikiliza Halima Hames Mdee japo kazuiwa kuendelea kuzungunza nimejiridhisha pasi na shaka kuwa Mkataba wa Berlin wa 1884 umehuishwa Dubai mwaka huu.
yaani Refa wa Fainali anakuwa kocha wa timu mojawapo inayocheza
hii style ya kuomba muongozo ili kumtoa kwny reli Mzungumzaji huwa inanikera sana sana Wallah
Mbunge Wa Ccm Huyo Kupitia High Court Na Ndugai Wakiwa GarageHuyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
inasikitisha sanaWame muinterap makusudi ashindwe kutoa hoja zake
Jamani imeniuma sana ni Mzalendo kumbe.Alikuwa na hoja za Msingi wangemsikilizaWame muinterap makusudi ashindwe kutoa hoja zake
inakera sanaHuyu spika mbona anamzuia Mdee asifunguke!
Halima ndio hana chama hilo linajulikana lakini katika mchango wake yeye anafungua haki za bunge kuhoji badala ya bunge kugeuka kuwa ndiyo serikali yenyewe.Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Pengine wameambiwa Chongolo anawasikiliza na hoja zao ndio zitaamua mustakbali wao 2025Jamani imeniuma sana ni Mzalendo kumbe.Alikuwa na hoja za Msingi wangemsikiliza
Huyu spika mbona anamzuia Mdee asifunguke!
Tutaunga. mkono hata kama mchangiaji atakuwa Shetani bin Ibilisi …cha msingi iwe hoja ya kutetea NchiHuyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie
Anaongea Kwa hisia badala atumie content za kwenye kitabu, atumie ACT na Cases za kimataifa sio kutaka huruma ya vigeregere Kwa wananchiakili kubwa kwa kuongea kwa sauti au? maana anaulizwa anachokisema kumeandikwa wapi kwenye huo mkataba anabaki kujingatangata
Tumepigwa pakubwa mno. Tutajua badae.Tumepigwa aisee
Tulia ww mwalimu...mkataba utapita na hamna chochote mtakachofanya ...Huyu sio mbunge mimi simsikilizi, mnajifanya kumpa nafasi kupumbaza demokrasia na kupoza makali
Mahuligani nyie