Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa
Naunga mkono Halima kutokwenda.Unafiki wa StarTV upo kikomoni.
Nitashangaa sana kama mwana UkAwa ataenda Star Tv kwa lolote lile.
Matangazo ya uchochezi kutumia picha za lowasa bila ridhaa haikubali
 
Halima mbunge wa maisha KAWE,tumemwambia hana haja ya kampeni kura zote kishapata
 
Mtu wa chadema akiende kufanya mahojiano huko kwenye channel ya ccm tutahuzunika sana na tutavunjinga moyo sana tafadhali sana viongozi wawapige marufuku!
 
Kweli kabisa NA ninashauri chadema wasihudhurie kipindi cho note kinachorushwa na star TV au wakienda ajadili kwa kuiponda star tv

Aisee umetoa tamko kama la CCM mwaka 2010!Nadhani Tumaini Makene atakusikia.MDEE amekamatwa vibaya na JANETH RITHE na KIPPI WARIOBA Hapumui.Mwaka huu bunge ataliangalizia TBC.Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Why should Mdee waste her precious time with the tv station with the least numbers of viewership and a politically connected and biased station. Good job! halima mdee......ukawa oyeee.....
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Kwanza nampa heko kwa kuwakacna hao Star Tv wanapropaganda wa CCM
 
Halima mdee nikelele uongo mpaka sauti imepinda kwa kuongeya sasa kwa mahojiyano yenye ushahidi hawaze chochote ,ni vya uongo na kashifa za uongo na kuwadanganya mama nitiliye na boda

Ulitaka kuandika nini? Umeambiwa CHADEMA wamefiwa. Umekomaa kumpa kasoro Mdee. Huoni kuwa huenda akili yako haijatimia? Hata hivyo, kweli Halima Mdee wa kukaa kwenye mjadala na Kingwendu!!!!!! Labda kama kama watajadili sanaa za maigizo sawa lakini sio siasa
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Star tv watapoteza watazamaji kwa kuamua kuegemea upande flani ktkt kampeni kwani watu hawahitaji kupata habari za upande mmoja.
 
hongera tcra hawa star TV kila siku walikuwa wanatujazia magamba sasa ni wagombea tu.
 
Kuna maadili gani huko.umefanya vyema mdee.
 
Leo kulikuwa na interview startv asubuhi.
Waalikwa ni...
Jafo CCM
Mgombea ACT-Wazalendo Kawe
Kingwendu
Halima Mdee.

Hadi kipindi kinaanza 7:30 Halima Mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa.

Mdee lazima akimbie kwasababu mwenyewe anajua safari hii hawezi kupita.
 
Kwa maana hiyo hawakuwa na habari kwamba jana usiku makamanda waliondoka tayari kwenda kumlaza mwenzao MOhammed Mtoi?

Au alidhani Halima angeacha ili aje ashindanishwe na huyo Diwani?
 
hizo interview za kishoga hatuzitaki .Ulishawahi ona wapi interview zinafanywa saa moja na nusu asubuhi.
 
tunaomba wagombea wote wa ukawa waizire hii channel kwani ni channel ya chama ccm. wamemchafua vya kutosha rais wetu mteule lowassa
 
Back
Top Bottom