Acha siasa!
Halima amepata msiba mkubwa.
RIP Mtoi 
Kiongozi!
Usijipe shida kwa watu wasio shirikisha ubongo wao kila wanapo leta hoja humu jamvini.
Acha siasa!
Halima amepata msiba mkubwa.
RIP Mtoi 
Leo kulikuwa na interview startv asubuhi.
Waalikwa ni...
Jafo CCM
Mgombea ACT-Wazalendo Kawe
Kingwendu
Halima Mdee.
Hadi kipindi kinaanza 7:30 Halima Mdee haonekani
Tazama startv hivi sasa.
Interview ya nini?
Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa.
Interview ya nini?
Nani kakudanganya? Embu karibu jimboni kawe alafu utajua namaanisha nini.
Star tv=ccm
Sawa jifariji, si ndio kawaida yenu kubisha hata vinavyoonekana ila tukutane hapa hapa baada ya oct 25.Mhh, jimbo la KAWE mwaka huu panachimbika
Watu hawana tena imani na viongozi wao, maana wanawadanganya sana watu na kuwafanya kama chapati kuwageuza geuzaSawa jifariji, si ndio kawaida yenu kubisha hata vinavyoonekana ila tukutane hapa hapa baada ya oct 25.
Ni kweli, chama si cha mtu mmoja unapofanya maamuzi peke yako eti kisa ni kiongozi, unaweza kuharibu muelekeo hata wa watu kama akina MdeeWatu hawana tena imani na viongozi wao, maana wanawadanganya sana watu na kuwafanya kama chapati kuwageuza geuza
Unamtangazia nani we mbwiga?kila mtu ana ratiba zake siyo hao machumia tumbo,mdee ni mwana mageuzi hawezi kwenda kwenye starccm
Unamtangazia nani we mbwiga?kila mtu ana ratiba zake siyo hao machumia tumbo,mdee ni mwana mageuzi hawezi kwenda kwenye starccm
Halima si miongoni mwa waliotuaminisha kuwa EL ni fisadi, sasa leo hii nimuone wa maana, naanzia wapi, na ndio maana sishangai yeye kukimbia mahojianoKinjgwendu - Wema Sepetu
Halima mdee- Magufuli or Samia Suluhu ingawa sio kihivyo
viva Halima
Na baada ya Oct 25 ndiyo tutaheshimiana,Sawa jifariji, si ndio kawaida yenu kubisha hata vinavyoonekana ila tukutane hapa hapa baada ya oct 25.
Leo kulikuwa na interview startv asubuhi.
Waalikwa ni...
Jafo CCM
Mgombea ACT-Wazalendo Kawe
Kingwendu
Halima Mdee.
Hadi kipindi kinaanza 7:30 Halima Mdee haonekani
Tazama startv hivi sasa.