Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Waliopo studio sio level ya H Mdee.
Ka uliona yule mgombea wa ccm alisema alitamani Mdee awepo, mdee kwake ni ka Obama, na angepiga selfie kabisa.
 
Hapo kwenye mahojiano yenyewe jafo anapewa nusu saa mwenzake anapewa dakika 5 hata maswali hayafanani anaongea kama kalipia kipindi
 
Halima mdee nikelele uongo mpaka sauti imepinda kwa kuongeya sasa kwa mahojiyano yenye ushahidi hawaze chochote ,ni vya uongo na kashifa za uongo na kuwadanganya mama nitiliye na boda
R.I.P Mtoi.. kila nafsi itaonja umauti.. tumeumizwa sana na kifo chako.
 
Kweli namuunga mkono Mdee yule ni bulldozer pamoja na kwamba yawezekana ni msiba umechangia Lakini pia kwenda star tv kwa mtu kama Mdee ni kujidhalilisha.
 
Mwandishi wa habari wa kipindi like hana hadhi ya kumuhoji halima mdee,mwandishi kazubaa kama uji wa magereza
 
Kwani lazima? Star tv hawafanyi interview, wanafanyia CCM campaign, nashauri wangeendelea kumhoji Dr.Slaa.

Kweli kabisa NA ninashauri chadema wasihudhurie kipindi cho note kinachorushwa na star TV au wakienda ajadili kwa kuiponda star tv
 
Mie tbc,star, sisikii wala siangalii kabisa itakuwa vizuri wanamabadiliko tususe kabisa!
 
Kwa nn hiyo interview isifanyike kwenye vyombo vya habari vya maana. Maana startv na uhuru publications mi huwa naona kama ni offiice za ccm
 
Wanamabadiliko hv tbc,radio free Africa, uhuru afm pamoja na star tv ni vyombo vya Habari kwa manufaa ya watanzania wote au vipo kwa manufaa ya CCM? Nisaidieni kupata jibu sahihi.vyombo hv vinaupendeleo wa wazwaz Kabsa.... vinakipigia kampeni Chama cha CCM.
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Hv ni kwann interview ifanyike ktk vyombo vya Habari ambavyo ni vya CCM? Kama kuna ulazma wa kufanya interview nashauri ifanyikie kwenye vyombo vya Habari ambavyo ni vya umma.
 
Msiba mzito muwe na ubinadamu

Kituo cha tv Star Tv kinafahamika
RT
Hapo hakuna hoja ya maana labda Jafo kidogo
L
@Hakuna haja ya midahalo maana kampeni zimeanza waende kwa wananchi mwenye hoja atoe huko

Hivi UKAWA inapendelea kituo gani?
 
Back
Top Bottom