Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Star TV iko biased, imekua warned several times na haina morals.... Wacha aitose
 
Wanaogopa hao ukawa siwssemaji wa maana zaidi ya kutukana ovyo usiongee kiushabiki hakuna muongeeaji huko ukawa zaidi ya hao waliyotoka ccm ,ccm wenye kuelewa siyasa wako wengi sana
 
..bora akimbie hicho kituo cha machok.!
 
Kufanya interview startv ni kama uko Lumumba au makao makao ya ccm Dodoma, sahivi wamebakiza vitu viwili tu muhimu; Futuhi na BBC TV, wakiondoa hivyo basi kwisha habari yao
 
Unamtangazia nani we mbwiga?kila mtu ana ratiba zake siyo hao machumia tumbo,mdee ni mwana mageuzi hawezi kwenda kwenye starccm
Mafisadi mwaka huu mnakazi kweli mtakimbia mahojiano mpaka basi maana hoja ya ufisadi na rushwa zimewakaba.
 
Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa.
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Kanisani kwanza ,star tv baadae maana hao wote walihudhuria leo wanasali ijumaa
 
Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa.

Kati ya majimbo ambayo tayari wabunge wa cdm wamepita bado kuapishwa ni kawe,kabamba na ubungo kwa mkoa wa dsm
 
Mafisadi mwaka huu mnakazi kweli mtakimbia mahojiano mpaka basi maana hoja ya ufisadi na rushwa zimewakaba.

Kumbe jk alivyokimbia mdahalo mwaka 2010 alikuwa anakimbia kuulizwa hoja za ufisadi?naona umeanza kuvunja heshima kwa viongozi wako wakuu
 
Kuna msiba mzito wa mwana mageuzi ametutoka lazima tuangalie utu kwanza hiyo interview kwa manufaa ya nani starccm halima mdee awezi kimbia interview yoyote ata iwe ya TBC
 
Mwaka huu pia halima anawakati mgumu sana jimboni kwake anatetemeka kama Lowasa.

Nilitegemea ungesema mwaka huu CCM Kawe itapata ushindi wa kishindo, kumbe mgombea wa upinzani ana wakati mgumu, hilo tu? Basi ni wazi umetangaza kuwa Halima atashinda ingawa ana wakati mgumu kulinganisha na uchaguzi uliopita!😉
 
Safarii upepo umegeuka mkuu watu wamebadili gia angani hivo kwasasa Chadema ukitaka uwaweze waambie kuna Interview au Mdahalo viongozi wa Chadema wanazama chaka kabisa kwaiyo sasa upepo umegeuka kipind kile CCM Walikuwa mahodali kuzama chaka sasa imegeuka iko kwa CHADEMA
 
Ametumia busara sana kutohudhuria mambo ya kijinga yanaratibiwa na nyinyiem ili kujipima uwezo wao
 
TARGET YA STARTV HAIJULIKANI!
-->>heko kwa KUTOHUDHURIA.
--->>WANASHINDWA KUWA NA UFAHAMU WA KWAMBA;-
##UTEKELEZAJI WA SERA ZA KIMAENDELEO KWA VYAMA VYA UPINZANI NGUMU/MGUMU SANA!!
CHAMA TAWALA HUWA HAKITENDI HAKI KISAWASAWA!
hili NI dhahiri shairi!
 
Kwani lazima? Star tv hawafanyi interview, wanafanyia CCM campaign, nashauri wangeendelea kumhoji Dr.Slaa.
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa
halima hana tena hoja. sera ya kupinga ufisadi imeyeyuka cdm baada ya cdm kuuzwa kwa edo na mbowe. halima hawezi tena kushusha mistari ya 'fisadi' kazibwa mdomo kwa hela. kawe pigeni chini huyo hafai.
 
Back
Top Bottom